The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,017
- 19,506
- Thread starter
- #81
Nasikia hiyo siri za familia watu wana mikia hatari. Sema hom nina king'amuzi cha dstv eatv haipo. Hata hivyo mimi sio mpenzi wa kuangalia tv, zaidi ya taarifa ya habari hua sina kingine cha kuangalia.Hivi wale nao ni bongo movie kumbe mi nilidhani wanoigiza movie ndo bongo movie kumbe na waigiza tamthilia nao n kundi moja
Sema jana niliwahi kuja hom kama kuku nikawa nimejichanganya sebuleni na wadau wengine, wakawa wanaangalia maisha magic bongo, baada ya kuangalia movie mbili tatu nikajiuliza hivi hawa watu wana shule kichwani kweli, mbona kama vichwa vyao viko vitupu kabisa.