Hivi Bongo Movie kuna mtu ana elimu ya kiwango cha shahada(Degree)?

The Evil Genius

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2014
Posts
6,017
Reaction score
19,506
Habari ya jumamosi wakuu.

Najaribu kujiuliza, katika fani hii ya uigizaji Tanzania au maarufu kama Bongo Movie, kuna muigizaji ana elimu ya kiwango cha shahada au zaidi?

Nasikia kwenye Muziki wapo waimbaji wenye shahada moja na kuendelea kama Nick Mbishi kama sijakose anasikia ana shahada ya uzamili(masters degree).

Au Tanzania sanaa ya uigizaji imebakia kua ni kipaji hata kama hujui kusoma na kuandika. Wasanii wetu hawa kiwango chao cha shule kikoje. Au ndio vile ukiwa na matako makubwa na ukajua kutembea na chupi tu na dadies nyingi unakua muigizaji mkubwa?

The Rock ana shahada ya criminology, David Otunga ana Masters degree ya sheria toka Havard university, ni sehemu wa waigizaji wakubwa wenye shule kubwa.

Je Bongo movie hali yao ikoje?

Ahsante.
 
Niki mbishi hana Masters..Utakuwa unamzungumzia Niki wa Pili
 
Hivi unafahamu kwamba Diamond hana hata diploma?

Je maisha yake yakoje?
 
David Otunga huyu km nampata hiv alikuwa WWE baadae nikamuona anatangaza na sasa sijui yuko wapi.
Bongo movie kitambo sana sijawahi kuangalia sbb za movie zao hazieleweki. Sijajua mkuu ngoja waje watazamaji
Yeah, Utunga aliyekua WWE, bado yupo WWE kama commentator nadhani kwenye Raw Brand au Smack Down kama sijakosea.

Ana masters degree toka Havard na pia amewahi kufanya kazi kwenye kampuni moja kubwa ya uwakili na moja ya makampuni yanayolipa vizuri nchini Marekani ya Sadley Austin LLP.
 
Hivi unafahamu kwamba Diamond hana hata diploma?

Je maisha yake yakoje? Wewe ni mjinga.
Hiki ulichokiandika kinahusiana vipi na swali langu?

Diamond kukosa hata Diploma kunahusiana vipi na swali langu?

Diamond ni msanii wa Bongo Movie?

Mbona hata Msukuma au Bashite hawana shule, maisha yao yakoje?

Usionekane tu kua umechangia, changia kitu cha maana.Changia kitu chenye mantiki.
 
Back
Top Bottom