Hii ya mwisho chini pembeni ya halotel. Hao wastaarabu sana, hawakupigii simu kabisa. Watakukumbusha tu ikibakia wiki kulipa na kuendelea npaka siku moja ya mwisho.
View attachment 3134288 Mkopo ni mwezi na hawasumbui kabisa, riba ni kama 25% au chini kama sikosei.
Ila hawataki uwe na madeni ya kampuni nyingine.
Kabla ya kudownload futa meseji za kudaiwa kwanza kwa sababu utawapa access ya kusoma meseji na na wanatumi kama kigezo cha kukupa au wasikupe. Ukilipa kabla ya muda wanakupadisha mkopo unaofuata.