Hivi BOT mmeidhinishaje hizi riba za hawa mikopo mitandaoni?

Hii kauli si ngeni hapa mjini, mbongo hata unikope mwaka kurejesha nahitaji miaka 3 kuna kiumbe alinikopa 15000 lakini ilichukua 4 months kulia useless lipa madeni hua hawadhalilisgi walipaji. 😂
 
Hii kauli si ngeni hapa mjini, mbongo hata unikope mwaka kurejesha nahitaji miaka 3 kuna kiumbe alinikopa 15000 lakini ilichukua 4 months kulia useless lipa madeni hua hawadhalilisgi walipaji. 😂
Kulipa au kutolipa haijawahi kuwa dhambi. Labda we mgeni kwenye mikopo. Ndio maana wakaweka utaratibu sio kujiamulia tu kama mnavyofanya nyie wahuni. Elfu 15 nayo ni pesa ya kumkopesha mtu hadi uidai miezi 4? Si unaitoa sadaka tu kwani ushapoteza au kutumia pesa ngapi. Haya maisha utatoboa kweli kwa style hiyo?
 
Kama wewe tapeli unatoboa kwanini mimi nisitoboe,,, muhuni ni wewe tapeli wala si mimi, na mimi sio ninayotoa mikopo hio tafadhari. So behave mm si muhuni kudai ni haki yangu kama hudai ni wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…