Mzalendo Uchwara
JF-Expert Member
- Jan 26, 2020
- 4,437
- 13,836
🤣🤣🤣🤣🤣Kwani wewe ni Mbunge?? Waachie wenyewe wewe endelea kukoroga Mbege
Mimi binafsi namkubali sana waziri mkuu wetu, kama nilivyosema haina uhusiano na waziri mkuu wetu.Mafisadi na wezi wa mali za umma mnaumizwa sana na utendaji kazi wa waziri mkuu wetu.
Na bado tunamuomba mama akifanikiwa kushinda uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 amteuwe tena Majaliwa aendelee hadi 2030.
Nikweli kabxa lkn x katiba hipo na nirazma ifuatwe na nivyema upitie katiba hili uturete kifungu then tujadili.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hata mbege hatukorogi kimyakimya, lazima tupige stori mbili tatu, na kuulizana maswali kama haya.
Hili nalo lichunguzwe.Hii haina uhusiano wowote na kikao cha Bunge kinachofuata.
Nilitaka kujua tu, hivi wabunge wetu hawa ambao wengi walipita kwa mgongo wa Hayati JPM, ikitokea mmoja 'miongoni mwao' anapigwa chini u PM halafu linapelekwa jina lingine, wanaweza kulikataa...
Mkuu Mzalendo Uchwara,Ikitokea wamegoma kuidhinisha jina jipya itakuwaje? Bunge linavunjwa?? Tunaenda kwenye uchaguzi mkuu?
Ni tafakuri tu.
Asante mkuu, umenifungua mancho.Mkuu Mzalendo Uchwara,
Rais wa Tanzania ni sehemu ya Bunge, ndiye analiunda, anateua watendaji wakuu wa Bunge, anaidhinisha sheria zote zinazotungwa na Bunge, na kulivunja Bunge...
Hapana, tunajifunza tu siasa za nchi yetu.Tunaandaliwa kisaklojia?
Asante kwa elimu ya bure kiongozi.Katiba ya Jamhuri, Sehemu ya tatu, Ibara ya 51, ibara ndogo za 1-6
Kikatiba Rais ana mamlaka ya kuteua jina la WM (waziri mkuu) toka kwa wabunge wa kuchaguliwa toka kwenye chama cha siasa chenye wabunge wengi...
Mzalendo Uchwara lkn nikiunganisha dot na post kadha wa kadha kama vile kuna mchoro fulani ulishachorwa?Hapana, tunajifunza tu siasa za nchi yetu.
Hili tumelisema sana humu, Wabunge Wetu wa Ajabu!, Wanaachaje Bunge Lijipendekeze Kwa Serikali!, Wanajua Wajibu Wao?. Check 'n' Balance Itoke Wapi? na Sehemu ya Pili: Je, Bunge letu tukufu linajipendekeza kwa Serikali?Asante mkuu, umenifungua mancho.
Kwa taratibu hizo basi bunge letu tukufu haliwezi kwenda kinyume na matakwa ya Rais hata siku moja.
Hizi ni ramli chonganishi!Hii haina uhusiano wowote na kikao cha Bunge kinachofuata.
Nilitaka kujua tu, hivi wabunge wetu hawa ambao wengi walipita kwa mgongo wa Hayati JPM, ikitokea mmoja 'miongoni mwao' anapigwa chini u PM halafu linapelekwa jina lingine, wanaweza kulikataa...
Hamna lolote mkuu, japo mama aliomba ruhusa ya chama afanye mabadiliko 😁.Mzalendo Uchwara lkn nikiunganisha dot na post kadha wa kadha kama vile kuna mchoro fulani ulishachorwa?
Nimejisomea hapa kwa wadau, kumbe hawana meno, hata ukiwachonganisha hawaumi, wanabweka tu.Hizi ni ramli chonganishi!