Hivi Bunge linaweza kukataa kuidhinisha jina la Waziri Mkuu linalopendekezwa na Rais?

Hakipo kitu kama hicho.

Majaliwa is there to stay😃😃😃
 
Sisi hatutaki mama tunataka ye mwenyewe majaliwa awe rais
Sipingani na wewe katika hili, ila kwa vile sasa hivi mama ndio alieshika mpini, basi acha Majaliwa aendelee kuwa karibu yake japo kwa post aliyopo sasa hadi 2030.

Akitolewa pale hali itakuwa mbaya zaidi maana atakosekana mtu makini wa kupambana na wabadhirifu wa mali za umma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…