Hivi CCM mmeshajiuliza kwanini mnapata viewers wachache kwenye live zenu, mnashindwa hata na Polepole

Hivi CCM mmeshajiuliza kwanini mnapata viewers wachache kwenye live zenu, mnashindwa hata na Polepole

Common Folk

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2023
Posts
909
Reaction score
4,050
Na kwa ground msingetoa usafiri na vi tip vya hapa na pale kama chakula na posho mngepata watu wachache mpaka mshangae.

Na mkumbuke Polepole huwa hatoi taarifa mara nyingi kwenye live zake, huwa anaibukanl tu lakini anapata viewers wengi kuwashinda.
Screenshot_20250908_003741_YouTube.png



Screenshot_20250908_003431_TubeMate.png



Hata ukiangalia ile overall views, bado hali ya chama ni mbaya sana huku mitandaoni.

Screenshot_20250908_003713_YouTube.png

Screenshot_20250908_091400_YouTube.png

Screenshot_20250908_091332_YouTube.png

Screenshot_20250908_090752_YouTube.png
 
Yaani hata wao wenyewe hawamwamini mgombea wao kumtizama🤣🤣🤣🤣.

Wanachama milioni 15,wenye simu smart milioni 7 tufanye,wenye bando na muda wa kutizama milioni 1.5,ila views ni 600🤣🤣🤣
Wana wapiga kura 13M
 
Elimu anayotoa inahitajika sana kwa sasa kiu ni kubwa, hata hawa wakupandishwa magari isingekuwa njaa usingewaona, wanaenda kwa sababu ya chochote kitu.
 
Na kwa ground msingetoa usafiri na vi tip vya hapa na pale kama chakula na posho mngepata watu wachache mpaka mshangae.

Na mkumbuke Polepole huwa hatoi taarifa mara nyingi kwenye live zake, huwa anaibukanl tu lakini anapata viewers wengi kuwashinda.
View attachment 3467664


View attachment 3467663


Hata ukiangalia ile overall views, bado hali ya chama ni mbaya sana huku mitandaoni.

View attachment 3467670
View attachment 3467668
View attachment 3467667
View attachment 3467666
Ujue pia viewers wengi wa CCM wanamfatitilia Slowslow
 
Na kwa ground msingetoa usafiri na vi tip vya hapa na pale kama chakula na posho mngepata watu wachache mpaka mshangae.

Na mkumbuke Polepole huwa hatoi taarifa mara nyingi kwenye live zake, huwa anaibukanl tu lakini anapata viewers wengi kuwashinda.
View attachment 3467664


View attachment 3467663


Hata ukiangalia ile overall views, bado hali ya chama ni mbaya sana huku mitandaoni.

View attachment 3467670
View attachment 3467668
View attachment 3467667
View attachment 3467666
Wamechokwa. Ukweli ni kwamba Samia hapendwi na 85 % of the population.
 
KUrasa zao za facebook na instagram ni kichekesho. Post inawekwa likes hazifiki 100 na unakuta kwenye comments ni mtu mmoja au wawili wanarudia kuweka comment moja ili zionekane nyingi! Ccm ni chama kidogo sana.
 
Back
Top Bottom