Kutiki bila kusikiliza seraYes.
Kule hawana cha kuongeza wanasubiri kutik tu
Cc hatuangalii watu wa mitandaon cc tunaangalia kweny malory!!Na kwa ground msingetoa usafiri na vi tip vya hapa na pale kama chakula na posho mngepata watu wachache mpaka mshangae.
Na mkumbuke Polepole huwa hatoi taarifa mara nyingi kwenye live zake, huwa anaibukanl tu lakini anapata viewers wengi kuwashinda.
View attachment 3467664
View attachment 3467663
Hata ukiangalia ile overall views, bado hali ya chama ni mbaya sana huku mitandaoni.
View attachment 3467670
View attachment 3467668
View attachment 3467667
View attachment 3467666