Na kwa ground msingetoa usafiri na vi tip vya hapa na pale kama chakula na posho mngepata watu wachache mpaka mshangae.
Na mkumbuke Polepole huwa hatoi taarifa mara nyingi kwenye live zake, huwa anaibukanl tu lakini anapata viewers wengi kuwashinda. View attachment 3467664