Uchaguzi 2020 Hivi CHADEMA walikuwa wanawaambia nini Wananchi wakati wa kampeni?

Sasa hivi sisi wote ni wana chama wa CCM tuna mpongeza kiongozi wa malaika na chama kwa ushindi wa 120%
 
Natamani tunyimwe misaada na wafadhili ili tuimbe wimbo mmoja.
Tanzania ni nchi huru na itajengwa na watanzania wenyewe, hiyo mindset yenu ya kuabudu neocolonialism ni moja ya sababu ya watanzania kuwaadhibu.
 
Daah watu mna majibu balaa, wajumbe walimcheka Makonda sana ila leo wamefanana.. Oooh mnabeba watu na malori, oooh mnaleta wasaniii ili muonekane mnapendea, oooh mnaleta watoto wa shule kujaza ktk kampeni, hii ndio tumeamua kulipa kiingilio cha fiesta ya CCM.
 
Hata Lema alisema haya haya mgoma haifiki 2020 lakini keshokutwa tunamuapisha...
 
Poleni sana Chadema ndio mjifunze sasa muache na siasa za uanaharakati. CCM walikuwa wanawaangalia tuu maana mtaji wao wa wanachama tuu ni USHINDI TOSHA.

HONGERA SANA CCM

Congratulations in advance President Magufuli
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Tumeshakuzoea wewe na utopolo wako! Uchaguzi ni mpaka 2025 hakuna uchaguzi tena hapa katikati au hata Katiba ya TZ huifahamu??
 
tumeshawanyoosha full stop.
Kwa upororaji wa kijinga ulifanyika, idiot kama wewe na wapwa za Magufuli, na Magufuli mwenyewe mtakuwa mnasherehekea mkidhani mmewakomoa. Hii ni kwa sababu mko primitive kimawazo na kielimu kiasi ambacho hamuoni madhara ya ujinga mnaofanya.
 
Mie nilisikia akisema walitaka kumuua lakini Mungu kamuokoa aje kuwaletea uhuru.
Ataweka madini rehani kwa wazungu ili wampe pesa, atafuta kodi zote (hakueleza angeendeshaje nchi, sijui kwa hizo pesa za wazungu?), angeongeza wafanyakazi mishahara (huku hana mapato maana kila kodi kafuta).
Atatugawanya nchi iwe kwenye majimbo, kila watu na jimbo lao wajiendeshe wenyewe akidai itakuwa bora maana mpaka RC tutampigia kura, na hivyo tutaweza kumuwajibisha. Asichojua kuwa mie mbunge wangu Halima Mdee miaka 10 ameshindwa kushirikiana na mamlaka husika kutatua shida za Kawe, akiingia na kutoka Bungeni atakavyo, kupinga kila kitu mpaka bajeti inayotoa pesa za madawa na mpaka jana nilikuwa sina uwezo/sikujua jinsi ya kumuwajibisha.
SGR, bwawa la umeme na barabara havina maana kwakuwa sio maendeleo ya watu ni ya hivyo vitu 😮. Hakujua watu wa mwisho wa reli tunaotumia siku 3 kufika home, tulivyo na usongo na hiyo SGR. Yaani unaingia Ujiji na kurudi siku hiyo hiyo?? Bado naona ndoto. Alafu yeye anasema SGR sio muhimu??? Sikumsoma kabisa.
 
Kwa upororaji wa kijinga ulifanyika, idiot kama wewe na wapwa za Magufuli, na Magufuli mwenyewe mtakuwa mnasherehekea mkidhani mmewakomoa. Hii ni kwa sababu mko primitive kimawazo na kielimu kiasi ambacho hamuoni madhara ya ujinga mnaofanya.
Si mlisema mtashinda?? Sasa tena imekuwa kuomba watu wafe?? We are done!!
 
Lissu yule baba muongo jamani sijapata kuona. Eti oohh nitaingiza watu barabarani nikishindwa uchaguzi. Saizi kajifungia chumbani na mke wake wanacheza YOPE.

Lissu babako tokea lini? Umemsahau babako mwongo?
 
Mdee tumeshamnyoosha tayari anapumulia mipira!!
 
Anaendelea Makamo wa Rais mpaka mwisho wa term.
Kwa hiyo Magufuli atakapofariki ni makamu wake ataendelea mpaka mwisho? Siyo kwamba makamu ataongoza kwa kipindi kifupi na kulazimika kuitisha uchaguzi?
 
Lissu yule baba muongo jamani sijapata kuona. Eti oohh nitaingiza watu barabarani nikishindwa uchaguzi. Saizi kajifungia chumbani na mke wake wanacheza YOPE.
🤣🤣🤣 We dada umejua kunichekesha aisee eti Lissu kajifungia na mke chumbani wanacheza YOPE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…