macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Nimeuliza kwa hiyo Magufuli atakapofariki ina maana makamu atamalizia kipindi chote? Wewe huna habari za ndani na wewe unajiita Magu2016? Unataka mpaka tumwage mtama kwenye kuku wengi?Utafariki wewe usiku wa leo kabla yake!