macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Nimeuliza kwa hiyo Magufuli atakapofariki ina maana makamu atamalizia kipindi chote? Wewe huna habari za ndani na wewe unajiita Magu2016? Unataka mpaka tumwage mtama kwenye kuku wengi?Utafariki wewe usiku wa leo kabla yake!
Nimesema Lissu babangu? Kweli magwanda mmepigwa na Magufuli hadi hamjitambui. Na bado
CCM imeulawiti na kuubaka uchaguziWanasubiri Membe akomboe goli na mpira umekwishaaaaa
Hakuna uchaguzi Tanzania umefanyika kilichofanyika ni CCM kuulawiti na kuubaka uchaguziNimeuliza kwa hiyo Magufuli atakapofariki ina maana makamu atamalizia kipindi chote? Wewe huna habari za ndani na wewe unajiita Magu2016? Unataka mpaka tumwage mtama kwenye kuku wengi?
Lissu yule baba muongo jamani sijapata kuona. Eti oohh nitaingiza watu barabarani nikishindwa uchaguzi. Saizi kajifungia chumbani na mke wake wanacheza YOPE.
You can say agin and agian mkuu. Ni kweli kabisa. Lakini huu ni ujinga wa hali ya juu kwani madhara yake ni kwa nchi nzima na siyo wapinzani tu. Primitive way of thinking of our president is coasting us. Wakiwemo CCM.Hakuna uchaguzi Tanzania umefanyika kilichofanyika ni CCM kuulawiti na kuubaka uchaguzi
CCM itatawala pasipo ridhaa baraka za wapiga kura ni sawa na utawala wa mapinduzi ya kijeshi, Zanzibar sasa pamekuwa kama Iraq hakuna biashara hakuna utalii kisa CCM inang’ang’ania Ikulu kwenda kuendeleza vitendo haramu vya kishamba na kishetaniYou can say agin and agian mkuu. Ni kweli kabisa. Lakini huu ni ujinga wa hali ya juu kwani madhara yake ni kwa nchi nzima na siyo wapinzani tu. Primitive way of thinking of our president is coasting us. Wakiwemo CCM.
Tanzania haitaki ubakaji kura lakini CCM imeng’ang’ania kuulawiti na kuubaka uchaguziTanzania imeamua.
Kuna uchaguzi wapi? Maana Tanzania hakuna uchaguzi kuna vioja vya CCM kuulawiti kuubaka uchaguzi tu.Nimesema Lissu babangu? Kweli magwanda mmepigwa na Magufuli hadi hamjitambui. Na bado
Kwahiyo unatakaje Wewe?Mnajitoa akili kuhalalisha ushindi wa wizi mlioupata, acheni kujidanganya kama watoto, dunia yote imeuona ujinga mliofanya.
Uchaguzi rasmi uandaliwe huo wa jana siyo uchaguzi bali ni maigizo ya ushetani wa CCMKwahiyo unatakaje Wewe?
Hayaaa tutaandaa uchaguzi mwinginee eeeh ntoto nzuri eeeeh. Haya nyamazaaa ntoto nzuri eeeeeh. Ooooooh ooooh nyamaza eeeeeehhhhhhhhUchaguzi rasmi uandaliwe huo wa jana siyo uchaguzi bali ni maigizo ya ushetani wa CCM
Mkuu Kuna watu Wana roho mbaya mpaka wanaboaHivi wewe ni ukoo wa lowassa kweli au umeambulia kufanana jina tu!.
Usijekuwa unawapigia debe wasio na habari na wewe, au labda ulikuwa housegirl kwenye nyumba yao?! na ma hg mnavyojua kujipendekeza, mara ushike remote kama upo kijijini kwenu.
Tulia dawa iwaingie, na tutahakikisha upinzani hawazidi kumi bungeniUlimwambia nani?! aibu tupu, mmeivua nguo nchi yetu mbele ya dunia.