Uchaguzi 2020 Hivi CHADEMA walikuwa wanawaambia nini Wananchi wakati wa kampeni?

Tanzania ni nchi huru na itajengwa na watanzania wenyewe, hiyo mindset yenu ya kuabudu neocolonialism ni moja ya sababu ya watanzania kuwaadhibu.
-Nchi hii ni Huruu kweli
-Lakini haina uhuru wa kiuchumi
- Wala sio kweli kwamba tunaabudu Neo colonialism bali ni ukweli
-Kwamba tunategemea misaada mwenye bajeti yetu mfano Wb walivyozuia ile 1trilioni mlivyopiga kelele
-Miradi ya dawa za ARV inafadhiliwa, maji,barabara,umeme
-Hivyo basi wafadhili wakigoma kutoa misaada nchi hii itayumba 100%
 
Mnajitoa akili kuhalalisha ushindi wa wizi mlioupata, acheni kujidanganya kama watoto, dunia yote imeuona ujinga mliofanya.
Si mlisema mmejipanga safari hii mnajua kila mbinu na namna ya kukabiliana nayo mbona mwishoni mnaanza kutia tu huruma ...kumbe hamkua na plan yeyote zaidi tu ya mikwara hewa
 
Hicho ndicho mlichobaki nacho. Watz wamewanyoosha kweli kweli na mabeberu yenu.
-Watanzania hawajatunyoosha
-Tume ndiyo imepiga kura na sio watanzania
-Mabeberu wakati wanatoa misaada kibao si unaona magari ya UKAID,USAID barabarani hao ni wafadhili
 
-watanzania hawajatunyoosha
-Tume ndiyo imepiga kura na sio watanzania
-Mabeberu wakati wanatoa misaada kibao si unaona magari ya UKAID,USAID barabarani hao ni wafadhili
Hicho ndicho mlichobaki nacho. Poleni.
 
Naomba kukumbushwa ilani ya Chadema ilikuwa na nini zaidi ya Ushoga??
Kuuza nchi kwa majimbo, kuuza mashirika ya umma yote, kuuza maliasili zetu kwa mabeberu...yani kwa mweleka waliopigwa, hawatakaa wasahau kwa miongo kadhaa. Waambieni mabwana zenu, kitu watanzania walivyowakataa.
 
Mnajitoa akili kuhalalisha ushindi wa wizi mlioupata, acheni kujidanganya kama watoto, dunia yote imeuona ujinga mliofanya.
Dunia gani unayoisema wewe?

Kuna baadhi ya Nchi hawana hata habari kama Tanzania unafanyika uchaguzi, yaani hawafahamu hata kidogo
 

Naona wengine mmefurahi sana demokrasia kufa Tanzania sijui kama mnajua hilo kuanzia leo Tanzania sio nchi ya demokrasia! Akili ya kufikiria Chadema pekee inabidi muiache
 
Click to expand...
Ni mataahira (mental retards) pekee ndiyo wanaweza kushangilia eti CCM wameshinda uchaguzi huu wa 2020.
 
Hivi wewe ni ukoo wa lowassa kweli au umeambulia kufanana jina tu!.

Usijekuwa unawapigia debe wasio na habari na wewe, au labda ulikuwa housegirl kwenye nyumba yao?! na ma hg mnavyojua kujipendekeza, mara ushike remote kama upo kijijini kwenu.
Watoto wa Lowassa ni wasomi wote, huyu kwanza ni msukuma. Empty headed.
 
Walikua wanauliza wamachinga kwanini wanalipa elfu 20 ya kitambulisho?
😁😁😁😁😁😁😁
 
Tulikauka koo kwa kuwashauri, kuwapigia magoti, kuwasisitiza, jamani acheni kuwa WANAHARAKATI, jitahidini muwe WANASIASA, raia wawaelewe na kuwapenda ili wawapigie kura mpate KULA, wao vichwa ngumu, wabishi kama mishipa, wanajifanya watoto wa mjini, waking'ang'ania mitandaoni kama dada Mange, kama vile kura wapate kula zapigwa mitandaoni, angalia walivyogalagazwa! Kama bibi aliyekula vyetu tukaamuwa kuumla kibabe!
Mbururura kabisa hawa, wamekipata kichapo cha mbwa koko, mpaka waweze ku-recover sijuwi mwisho wa Dunia!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…