MastaKiraka
JF-Expert Member
- Jan 10, 2015
- 5,736
- 18,648
Huna hata hadhi ya kuwa Kunguni, wewe ni Papasi tu. Kwamba Kwa mujibu wa upeo wako mdogo Jambo kama linashighulikiwa na vyombo vya serikali Chama cha upinzani kinatakiwa kukaa kimya hata kama linaumiza Wananchi? Huko CCM kuna chuo cha ujinga na mnatumia Muda gani kuhitimu?Rais aliruhusu mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa ili vikatangaze sera za vyama vyao kwa wananchi ili kuwavutia kuwaunga mkono kwenye harakati za kushika dola kwenye chaguzi zijazo.
Chama cha siasa ni sera yake na si vinginevyo. Rais aliruhusu ruzuku ya Serikali kwa Chadema iliyokuwa imegomewa ya bilion mbili (inasemekana) kwa mwezi kuanza kutolewa.
Cha ajabu Chadema wamekuwa wanazunguka kila mahali wakipinga serikali kwa kila kitu inachokifanya, wakikashifu, kudhalilisha na hata kuwatutana na kuwatezwa viongozi wakuu wa serikali ikiwamo raisi wa nchi, kuchochea vurugu na uvunjaji wa amani. Wamekuwa wakitishia kwamba watakiwasha hapa ndani na duniani kote kwani waungwa mkono na dunia aka mabeberu wa dunia ie EU, USA etc.
Wamekuwa wakidandia masuala hususani ya maboresho ya katiba ya nhi, mkataba wa bandari zetu na DP World na uboreshaji wa hifadhi ya Ngorongoro na kuyafanya kuwa ndiyo sera yao wakati kuna vyombo halali vinavyo shughulikia mambo haya.
Leo Rais kasema na kutoa maelekezo, sidhani kama hawa chadema wamemuelewa. Watapinga maelekezo haya kama kawaida yao. Ikumbukwe kwa mila zetu, tamaduni zetu na sheria zetu, maelekezo ya mkuu wa nchi ni maagizo na ni amri. Hawa jamaa watayapinga na kumteza aliyeyatoa. Ni utovu wa nidhamu na ukosefu wa adabu.
Umechelewa kukata tamasha chawa wa kijaniRais aliruhusu mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa ili vikatangaze sera za vyama vyao kwa wananchi ili kuwavutia kuwaunga mkono kwenye harakati za kushika dola kwenye chaguzi zijazo.
Chama cha siasa ni sera yake na si vinginevyo. Rais aliruhusu ruzuku ya Serikali kwa Chadema iliyokuwa imegomewa ya bilion mbili (inasemekana) kwa mwezi kuanza kutolewa.
Cha ajabu Chadema wamekuwa wanazunguka kila mahali wakipinga serikali kwa kila kitu inachokifanya, wakikashifu, kudhalilisha na hata kuwatutana na kuwatezwa viongozi wakuu wa serikali ikiwamo raisi wa nchi, kuchochea vurugu na uvunjaji wa amani. Wamekuwa wakitishia kwamba watakiwasha hapa ndani na duniani kote kwani waungwa mkono na dunia aka mabeberu wa dunia ie EU, USA etc.
Wamekuwa wakidandia masuala hususani ya maboresho ya katiba ya nhi, mkataba wa bandari zetu na DP World na uboreshaji wa hifadhi ya Ngorongoro na kuyafanya kuwa ndiyo sera yao wakati kuna vyombo halali vinavyo shughulikia mambo haya.
Leo Rais kasema na kutoa maelekezo, sidhani kama hawa chadema wamemuelewa. Watapinga maelekezo haya kama kawaida yao. Ikumbukwe kwa mila zetu, tamaduni zetu na sheria zetu, maelekezo ya mkuu wa nchi ni maagizo na ni amri. Hawa jamaa watayapinga na kumteza aliyeyatoa. Ni utovu wa nidhamu na ukosefu wa adabu.
Zimbukuku ulimwengu upo hukuRais aliruhusu mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa ili vikatangaze sera za vyama vyao kwa wananchi ili kuwavutia kuwaunga mkono kwenye harakati za kushika dola kwenye chaguzi zijazo.
Chama cha siasa ni sera yake na si vinginevyo. Rais aliruhusu ruzuku ya Serikali kwa Chadema iliyokuwa imegomewa ya bilion mbili (inasemekana) kwa mwezi kuanza kutolewa.
Cha ajabu Chadema wamekuwa wanazunguka kila mahali wakipinga serikali kwa kila kitu inachokifanya, wakikashifu, kudhalilisha na hata kuwatutana na kuwatezwa viongozi wakuu wa serikali ikiwamo raisi wa nchi, kuchochea vurugu na uvunjaji wa amani. Wamekuwa wakitishia kwamba watakiwasha hapa ndani na duniani kote kwani waungwa mkono na dunia aka mabeberu wa dunia ie EU, USA etc.
Wamekuwa wakidandia masuala hususani ya maboresho ya katiba ya nhi, mkataba wa bandari zetu na DP World na uboreshaji wa hifadhi ya Ngorongoro na kuyafanya kuwa ndiyo sera yao wakati kuna vyombo halali vinavyo shughulikia mambo haya.
Leo Rais kasema na kutoa maelekezo, sidhani kama hawa chadema wamemuelewa. Watapinga maelekezo haya kama kawaida yao. Ikumbukwe kwa mila zetu, tamaduni zetu na sheria zetu, maelekezo ya mkuu wa nchi ni maagizo na ni amri. Hawa jamaa watayapinga na kumteza aliyeyatoa. Ni utovu wa nidhamu na ukosefu wa adabu.
Wamekuwa wakidandia masuala hususani ya maboresho ya katiba ya nhi, mkataba wa bandari zetu na DP World na uboreshaji wa hifadhi ya Ngorongoro na kuyafanya kuwa ndiyo sera yao wakati kuna vyombo halali vinavyo shughulikia mambo haya.
Rais aliruhusu mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa ili vikatangaze sera za vyama vyao kwa wananchi ili kuwavutia kuwaunga mkono kwenye harakati za kushika dola kwenye chaguzi zijazo.
Chama cha siasa ni sera yake na si vinginevyo. Rais aliruhusu ruzuku ya Serikali kwa Chadema iliyokuwa imegomewa ya bilion mbili (inasemekana) kwa mwezi kuanza kutolewa.
Cha ajabu Chadema wamekuwa wanazunguka kila mahali wakipinga serikali kwa kila kitu inachokifanya, wakikashifu, kudhalilisha na hata kuwatutana na kuwatezwa viongozi wakuu wa serikali ikiwamo raisi wa nchi, kuchochea vurugu na uvunjaji wa amani. Wamekuwa wakitishia kwamba watakiwasha hapa ndani na duniani kote kwani waungwa mkono na dunia aka mabeberu wa dunia ie EU, USA etc.
Wamekuwa wakidandia masuala hususani ya maboresho ya katiba ya nhi, mkataba wa bandari zetu na DP World na uboreshaji wa hifadhi ya Ngorongoro na kuyafanya kuwa ndiyo sera yao wakati kuna vyombo halali vinavyo shughulikia mambo haya.
Leo Rais kasema na kutoa maelekezo, sidhani kama hawa chadema wamemuelewa. Watapinga maelekezo haya kama kawaida yao. Ikumbukwe kwa mila zetu, tamaduni zetu na sheria zetu, maelekezo ya mkuu wa nchi ni maagizo na ni amri. Hawa jamaa watayapinga na kumteza aliyeyatoa. Ni utovu wa nidhamu na ukosefu wa adabu.
Mbwa wewe, ulitaka wakahubiri nini kama siyo kukosoa maovu yenu?Rais aliruhusu mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa ili vikatangaze sera za vyama vyao kwa wananchi ili kuwavutia kuwaunga mkono kwenye harakati za kushika dola kwenye chaguzi zijazo.
Chama cha siasa ni sera yake na si vinginevyo. Rais aliruhusu ruzuku ya Serikali kwa Chadema iliyokuwa imegomewa ya bilion mbili (inasemekana) kwa mwezi kuanza kutolewa.
Cha ajabu Chadema wamekuwa wanazunguka kila mahali wakipinga serikali kwa kila kitu inachokifanya, wakikashifu, kudhalilisha na hata kuwatutana na kuwatezwa viongozi wakuu wa serikali ikiwamo raisi wa nchi, kuchochea vurugu na uvunjaji wa amani. Wamekuwa wakitishia kwamba watakiwasha hapa ndani na duniani kote kwani waungwa mkono na dunia aka mabeberu wa dunia ie EU, USA etc.
Wamekuwa wakidandia masuala hususani ya maboresho ya katiba ya nhi, mkataba wa bandari zetu na DP World na uboreshaji wa hifadhi ya Ngorongoro na kuyafanya kuwa ndiyo sera yao wakati kuna vyombo halali vinavyo shughulikia mambo haya.
Leo Rais kasema na kutoa maelekezo, sidhani kama hawa chadema wamemuelewa. Watapinga maelekezo haya kama kawaida yao. Ikumbukwe kwa mila zetu, tamaduni zetu na sheria zetu, maelekezo ya mkuu wa nchi ni maagizo na ni amri. Hawa jamaa watayapinga na kumteza aliyeyatoa. Ni utovu wa nidhamu na ukosefu wa adabu.
Nakazia 💯Kuwapangia watu nini wakaongee hiyo sio siasa.....ni mahubiri
Hajakataza kukosoa ila matumizi ya baadhi ya maneno mfano Kiongozi Fulani mjinga,mpumbavu,hana akili etc ilihali kuna maneno mengine mengi tu yangeweza kutumika na ujumbe ungefika kwa maana ile ile. Fuatilia tu kauli za Lissu. Je, Samia tangu ameokota kijiti amewahi tumia hayo maneno dhidi ya wapinzani!? Usitake lugha ambazo za kumwambia jiwe umwambie SamiaDuniani kote upinzani unaikosoa serikali, kama SSH anategemea vyama vya upinzani watangaze sera zao bila kukosoa mapungufu ya serikali iliyopo madarakani basi nayeye anaviashiria vya udikteta.
Wapelekwe mahakamani wakashitakiwe kisheria.Hajakataza kukosoa ila matumizi ya baadhi ya maneno mfano Kiongozi Fulani mjinga,mpumbavu,hana akili etc ilihali kuna maneno mengine mengi tu yangeweza kutumika na ujumbe ungefika kwa maana ile ile. Fuatilia tu kauli za Lissu. Je, Samia tangu ameokota kijiti amewahi tumia hayo maneno dhidi ya wapinzani!? Usitake lugha ambazo za kumwambia jiwe umwambie Samia
Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
Hizi mila na tamaduni za aina hii itakuwa ndio CHADEMA wamekusudia kuzivunja.Rais aliruhusu mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa ili vikatangaze sera za vyama vyao kwa wananchi ili kuwavutia kuwaunga mkono kwenye harakati za kushika dola kwenye chaguzi zijazo.
Chama cha siasa ni sera yake na si vinginevyo. Rais aliruhusu ruzuku ya Serikali kwa Chadema iliyokuwa imegomewa ya bilion mbili (inasemekana) kwa mwezi kuanza kutolewa.
Cha ajabu Chadema wamekuwa wanazunguka kila mahali wakipinga serikali kwa kila kitu inachokifanya, wakikashifu, kudhalilisha na hata kuwatutana na kuwatezwa viongozi wakuu wa serikali ikiwamo raisi wa nchi, kuchochea vurugu na uvunjaji wa amani. Wamekuwa wakitishia kwamba watakiwasha hapa ndani na duniani kote kwani waungwa mkono na dunia aka mabeberu wa dunia ie EU, USA etc.
Wamekuwa wakidandia masuala hususani ya maboresho ya katiba ya nhi, mkataba wa bandari zetu na DP World na uboreshaji wa hifadhi ya Ngorongoro na kuyafanya kuwa ndiyo sera yao wakati kuna vyombo halali vinavyo shughulikia mambo haya.
Leo Rais kasema na kutoa maelekezo, sidhani kama hawa chadema wamemuelewa. Watapinga maelekezo haya kama kawaida yao. Ikumbukwe kwa mila zetu, tamaduni zetu na sheria zetu, maelekezo ya mkuu wa nchi ni maagizo na ni amri. Hawa jamaa watayapinga na kumteza aliyeyatoa. Ni utovu wa nidhamu na ukosefu wa adabu.
Wewe na CCM yenu ni mataahira kabisaChadema na ba-vichaaa Kwa ujumla ni wehu!!
Na Sera zao watazinadi liniDuniani kote upinzani unaikosoa serikali, kama SSH anategemea vyama vya upinzani watangaze sera zao bila kukosoa mapungufu ya serikali iliyopo madarakani basi nayeye anaviashiria vya udikteta.
Kwani aliruhusu ili wamsifie!Rais aliruhusu mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa ili vikatangaze sera za vyama vyao kwa wananchi ili kuwavutia kuwaunga mkono kwenye harakati za kushika dola kwenye chaguzi zijazo.
Chama cha siasa ni sera yake na si vinginevyo. Rais aliruhusu ruzuku ya Serikali kwa Chadema iliyokuwa imegomewa ya bilion mbili (inasemekana) kwa mwezi kuanza kutolewa.
Cha ajabu Chadema wamekuwa wanazunguka kila mahali wakipinga serikali kwa kila kitu inachokifanya, wakikashifu, kudhalilisha na hata kuwatutana na kuwatezwa viongozi wakuu wa serikali ikiwamo raisi wa nchi, kuchochea vurugu na uvunjaji wa amani. Wamekuwa wakitishia kwamba watakiwasha hapa ndani na duniani kote kwani waungwa mkono na dunia aka mabeberu wa dunia ie EU, USA etc.
Wamekuwa wakidandia masuala hususani ya maboresho ya katiba ya nhi, mkataba wa bandari zetu na DP World na uboreshaji wa hifadhi ya Ngorongoro na kuyafanya kuwa ndiyo sera yao wakati kuna vyombo halali vinavyo shughulikia mambo haya.
Leo Rais kasema na kutoa maelekezo, sidhani kama hawa chadema wamemuelewa. Watapinga maelekezo haya kama kawaida yao. Ikumbukwe kwa mila zetu, tamaduni zetu na sheria zetu, maelekezo ya mkuu wa nchi ni maagizo na ni amri. Hawa jamaa watayapinga na kumteza aliyeyatoa. Ni utovu wa nidhamu na ukosefu wa adabu.
Duniani kote upinzani unaikosoa serikali, kama SSH anategemea vyama vya upinzani watangaze sera zao bila kukosoa mapungufu ya serikali iliyopo madarakani basi nayeye anaviashiria vya udikteta.
Kuna sheria, kanuni naUlitakiwa kudanganya kipindi ambapo mambo ya dunia hayakuwa wazi. Tunafuatilia siasa kote ulimwenguni vyama vya siasa vinasemana. Wanasiasa wanasemwa na madhaifu na matendo yao maovu yasemwa waziwazi tena hadharani. Ndiyo siasa zenyewe uwanja wenye mtifuano mzito. Unapiga mtu na kitu kizito kwenye siasa unapigwa na hoja nzito zaidi hadi kieleweke. Tuendelee!
Chama kilichojaa mijitu kama wewe, iliyokosa malezi mema ya wazazi wao na jamii yake, moto lazima utakuwa unwaka ndani ya chama hicho. Huwezi kuamini kama midomo ya mijitu haya inayotoa haya maneno, inatumika pia kulia chakula au kusema "baby I love you"! Inahitaji rehabilitation.Mjinga wewe. Toa uharo wako wa kipumbavu. Huijui siasa wala majukumu ya vyama vya siasa. Funga bakuli lako.
Baada ya bunge kuridhia mkataba tata wa IGA kati ya JMT na DP World, tarehe 10 June 2023, watanzania wengi wa nyanja mbali mbali walijitokeza kujadili suala hili. Mjadala ulipamba moto na serikali kuamua kukusanya maoni yaliyokuwa yanatolewa na wananchi kusuhu mkataba huu kwa lengo la kuyafanyia kazi. Mjadala uliendelea vizuri kwa takribani miezi miwili. Ghafla chadema wakadandia na kupoka mjadala huu na kuufanya kuwa sera yao kwenye mikutano ya hadhara waliyokuwa wakiifanya sehemu mbali mbali ya nchi. Hivyo sakata la bandari likawa ni la mapambano ya kisiasa kati ya chadema na serikali ya ccm. Hii ikasababisha wananchi kusitisha mjadala waliokuwa wanafanya wa kutoa maoni yao kwa serikali. Kwani sasa mwananchi akipinga mkataba huu, alionekana ni mwana chadema na yule aliyekubaliana na mkataba huu alionekana ni mwana ccm! Mjadala ukafa na serikali ikaacha kukusanya maoni ya wananchi kwani serikali haiwezi kukusanya maoni ya chadema au wanachadema.Una maana gani kusema wamekua “wakidandia”?
Wafuate sheria, kanuni na taratibu za nchi yetu, pamoja na kuzingatia maadili ya mtanzania, mila na desturi za mtanzania. Maoni na mapendekezo yao yawakilishwe bungeni kupitia kwa wabunge wao wa kuchaguliwa na wananchi na wale wa viti maalum vyao wasiowapenda.Kama haya yote CHADEMA hawatakiwi kuyasemea, wanatakiwa wafanye nin