Hivi CHADEMA wamemuelewa kweli Rais wetu? Kwamba hicho wanachozunguka kukihubiri ni ukiukaji wa malengo ya kuruhusu mikutano ya hadhara

Rais aliruhusu mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa ili vikatangaze sera za vyama vyao kwa wananchi ili kuwavutia kuwaunga mkono kwenye harakati za kushika dola kwenye chaguzi zijazo.

Chama cha siasa ni sera yake na si vinginevyo. Rais aliruhusu ruzuku ya Serikali kwa Chadema iliyokuwa imegomewa ya bilion mbili (inasemekana) kwa mwezi kuanza kutolewa.

Cha ajabu Chadema wamekuwa wanazunguka kila mahali wakipinga serikali kwa kila kitu inachokifanya, wakikashifu, kudhalilisha na hata kuwatutana na kuwatezwa viongozi wakuu wa serikali ikiwamo raisi wa nchi, kuchochea vurugu na uvunjaji wa amani. Wamekuwa wakitishia kwamba watakiwasha hapa ndani na duniani kote kwani waungwa mkono na dunia aka mabeberu wa dunia ie EU, USA etc.

Wamekuwa wakidandia masuala hususani ya maboresho ya katiba ya nhi, mkataba wa bandari zetu na DP World na uboreshaji wa hifadhi ya Ngorongoro na kuyafanya kuwa ndiyo sera yao wakati kuna vyombo halali vinavyo shughulikia mambo haya.

Leo Rais kasema na kutoa maelekezo, sidhani kama hawa chadema wamemuelewa. Watapinga maelekezo haya kama kawaida yao. Ikumbukwe kwa mila zetu, tamaduni zetu na sheria zetu, maelekezo ya mkuu wa nchi ni maagizo na ni amri. Hawa jamaa watayapinga na kumteza aliyeyatoa. Ni utovu wa nidhamu na ukosefu wa adabu.
Huna hata hadhi ya kuwa Kunguni, wewe ni Papasi tu. Kwamba Kwa mujibu wa upeo wako mdogo Jambo kama linashighulikiwa na vyombo vya serikali Chama cha upinzani kinatakiwa kukaa kimya hata kama linaumiza Wananchi? Huko CCM kuna chuo cha ujinga na mnatumia Muda gani kuhitimu?
 
Rais aliruhusu mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa ili vikatangaze sera za vyama vyao kwa wananchi ili kuwavutia kuwaunga mkono kwenye harakati za kushika dola kwenye chaguzi zijazo.

Chama cha siasa ni sera yake na si vinginevyo. Rais aliruhusu ruzuku ya Serikali kwa Chadema iliyokuwa imegomewa ya bilion mbili (inasemekana) kwa mwezi kuanza kutolewa.

Cha ajabu Chadema wamekuwa wanazunguka kila mahali wakipinga serikali kwa kila kitu inachokifanya, wakikashifu, kudhalilisha na hata kuwatutana na kuwatezwa viongozi wakuu wa serikali ikiwamo raisi wa nchi, kuchochea vurugu na uvunjaji wa amani. Wamekuwa wakitishia kwamba watakiwasha hapa ndani na duniani kote kwani waungwa mkono na dunia aka mabeberu wa dunia ie EU, USA etc.

Wamekuwa wakidandia masuala hususani ya maboresho ya katiba ya nhi, mkataba wa bandari zetu na DP World na uboreshaji wa hifadhi ya Ngorongoro na kuyafanya kuwa ndiyo sera yao wakati kuna vyombo halali vinavyo shughulikia mambo haya.

Leo Rais kasema na kutoa maelekezo, sidhani kama hawa chadema wamemuelewa. Watapinga maelekezo haya kama kawaida yao. Ikumbukwe kwa mila zetu, tamaduni zetu na sheria zetu, maelekezo ya mkuu wa nchi ni maagizo na ni amri. Hawa jamaa watayapinga na kumteza aliyeyatoa. Ni utovu wa nidhamu na ukosefu wa adabu.
Umechelewa kukata tamasha chawa wa kijani
 
Zimbukuku ulimwengu upo huku

Katiba inaonesha wapi kwamba Rais ndiye anayeruhusu mikutano ya vyama?

Akili itumike vyema
 
Wamekuwa wakidandia masuala hususani ya maboresho ya katiba ya nhi, mkataba wa bandari zetu na DP World na uboreshaji wa hifadhi ya Ngorongoro na kuyafanya kuwa ndiyo sera yao wakati kuna vyombo halali vinavyo shughulikia mambo haya.

Una maana gani kusema wamekua “wakidandia”?

Kwamba hayo masuala ya marekebisho ya Katiba ya nchi hayawahusu?

Uwekezaji wa Bandari za Tanganyika hauwahusu? Viongozi na wanachama wa CHADEMA sio watanganyika / Watanzania?

Ngorongoro kuna uboreshaji? Upi? Unafanywa na wale waarabu wa Dubai ama na Serikali ya JMT?

Kama haya yote CHADEMA hawatakiwi kuyasemea, wanatakiwa wafanye nini kinachoendana na siasa na hali ya nchi waliyopo kwa wakati huu?

Wale wabunge wa CCM waliozunguka majimboni kwao kuzungumzia kuhusu uwekezaji wa DP World wao wana haki na uhalali huo?

Viongozi mbali mbali wa Taasisi za kidini ambao wamekua wakizungumzia kuhusu uwekezaji wa DP World kwenye Bandari za Tanganyika nao ni halali yao?

Mwijaku, Kitenge, Zembwela, Baba Levo na Taasisi ya Chawa wa Mama ndio ‘vyombo halali’?

Tafadhali, naomba orodha ya ‘vyombo halali’ vinavyohusika na hayo.
 
Rais aliruhusu mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa ili vikatangaze sera za vyama vyao kwa wananchi ili kuwavutia kuwaunga mkono kwenye harakati za kushika dola kwenye chaguzi zijazo.

Chama cha siasa ni sera yake na si vinginevyo. Rais aliruhusu ruzuku ya Serikali kwa Chadema iliyokuwa imegomewa ya bilion mbili (inasemekana) kwa mwezi kuanza kutolewa.

Cha ajabu Chadema wamekuwa wanazunguka kila mahali wakipinga serikali kwa kila kitu inachokifanya, wakikashifu, kudhalilisha na hata kuwatutana na kuwatezwa viongozi wakuu wa serikali ikiwamo raisi wa nchi, kuchochea vurugu na uvunjaji wa amani. Wamekuwa wakitishia kwamba watakiwasha hapa ndani na duniani kote kwani waungwa mkono na dunia aka mabeberu wa dunia ie EU, USA etc.

Wamekuwa wakidandia masuala hususani ya maboresho ya katiba ya nhi, mkataba wa bandari zetu na DP World na uboreshaji wa hifadhi ya Ngorongoro na kuyafanya kuwa ndiyo sera yao wakati kuna vyombo halali vinavyo shughulikia mambo haya.

Leo Rais kasema na kutoa maelekezo, sidhani kama hawa chadema wamemuelewa. Watapinga maelekezo haya kama kawaida yao. Ikumbukwe kwa mila zetu, tamaduni zetu na sheria zetu, maelekezo ya mkuu wa nchi ni maagizo na ni amri. Hawa jamaa watayapinga na kumteza aliyeyatoa. Ni utovu wa nidhamu na ukosefu wa adabu.

Polisi wamechoka na wanajeshi wamechoka nchi nyingi za Africa kuwa tetea wanasiasa. Jibuni hoja mzee Msuya kashasema CCM badala ya kujibu hoja wanasubiri kusingizia vitu. Nenda kawaambie ujinga wako wamasai wa Loliondo, wakulima wa pamba, hoja kuhusu bandari, bei kupanda… vitisho havisadiii hata Polisi siku hivi wamechoka
 
Ulipoandika Rais aliruhusu ruzuku nikaona bora niishie hapo.
 
Samia ni fisadi,hafai kuwa Rais
 
Tuna viongozi wasio na maono na wasio elewa nn maana ya upinzani. Kwahyo raisi alitaka upinzani wasifie ujinga unaoendelea? Yaani kiongozi unauza nchi unataka usifiwe haya ndiyo matatizo ya ,......... Elimu ina manufaa yake.

Kazi yoyote inayofanywa na 4m4 felia hainaga akili wala muelekeo
 
Rais aliruhusu mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa ili vikatangaze sera za vyama vyao kwa wananchi ili kuwavutia kuwaunga mkono kwenye harakati za kushika dola kwenye chaguzi zijazo.

Chama cha siasa ni sera yake na si vinginevyo. Rais aliruhusu ruzuku ya Serikali kwa Chadema iliyokuwa imegomewa ya bilion mbili (inasemekana) kwa mwezi kuanza kutolewa.

Cha ajabu Chadema wamekuwa wanazunguka kila mahali wakipinga serikali kwa kila kitu inachokifanya, wakikashifu, kudhalilisha na hata kuwatutana na kuwatezwa viongozi wakuu wa serikali ikiwamo raisi wa nchi, kuchochea vurugu na uvunjaji wa amani. Wamekuwa wakitishia kwamba watakiwasha hapa ndani na duniani kote kwani waungwa mkono na dunia aka mabeberu wa dunia ie EU, USA etc.

Wamekuwa wakidandia masuala hususani ya maboresho ya katiba ya nhi, mkataba wa bandari zetu na DP World na uboreshaji wa hifadhi ya Ngorongoro na kuyafanya kuwa ndiyo sera yao wakati kuna vyombo halali vinavyo shughulikia mambo haya.

Leo Rais kasema na kutoa maelekezo, sidhani kama hawa chadema wamemuelewa. Watapinga maelekezo haya kama kawaida yao. Ikumbukwe kwa mila zetu, tamaduni zetu na sheria zetu, maelekezo ya mkuu wa nchi ni maagizo na ni amri. Hawa jamaa watayapinga na kumteza aliyeyatoa. Ni utovu wa nidhamu na ukosefu wa adabu.
Mbwa wewe, ulitaka wakahubiri nini kama siyo kukosoa maovu yenu?

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Dr. Ujinga hujitambui. Huelewi hata maana ya siasa. Chama cha siasa kama hakijihusishi na mambo yanayowagusa wananchi na kuathiri mstakabali wa Taifa, na kuyazungumzia ili kuitaka Serikali ifanye kitu, au ikilazimu iondolewe kwa njia zilizokubaliwa kikatiba, hicho kitakuwa siyo chama cha siasa bali kakikundi cha waganga njaa.

Hongera sana CHADEMA kufanya kazi ya siasa inayolenga maslahi ya wananchi wetu na Taifa letu.

Hongera sana CHADEMA kwa kufanya siasa zinazopinga uendeshaji wa Serikali kama taasisi ya udalali wa rasilimali za nchi.
 
Duniani kote upinzani unaikosoa serikali, kama SSH anategemea vyama vya upinzani watangaze sera zao bila kukosoa mapungufu ya serikali iliyopo madarakani basi nayeye anaviashiria vya udikteta.
Hajakataza kukosoa ila matumizi ya baadhi ya maneno mfano Kiongozi Fulani mjinga,mpumbavu,hana akili etc ilihali kuna maneno mengine mengi tu yangeweza kutumika na ujumbe ungefika kwa maana ile ile. Fuatilia tu kauli za Lissu. Je, Samia tangu ameokota kijiti amewahi tumia hayo maneno dhidi ya wapinzani!? Usitake lugha ambazo za kumwambia jiwe umwambie Samia

Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
 
Wapelekwe mahakamani wakashitakiwe kisheria.
 
Rais aliruhusu mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa ili vikatangaze sera za vyama vyao kwa wananchi ili kuwavutia kuwaunga mkono kwenye harakati za kushika dola kwenye chaguzi zijazo.

Chama cha siasa ni sera yake na si vinginevyo. Rais aliruhusu ruzuku ya Serikali kwa Chadema iliyokuwa imegomewa ya bilion mbili (inasemekana) kwa mwezi kuanza kutolewa.

Cha ajabu Chadema wamekuwa wanazunguka kila mahali wakipinga serikali kwa kila kitu inachokifanya, wakikashifu, kudhalilisha na hata kuwatutana na kuwatezwa viongozi wakuu wa serikali ikiwamo raisi wa nchi, kuchochea vurugu na uvunjaji wa amani. Wamekuwa wakitishia kwamba watakiwasha hapa ndani na duniani kote kwani waungwa mkono na dunia aka mabeberu wa dunia ie EU, USA etc.

Wamekuwa wakidandia masuala hususani ya maboresho ya katiba ya nhi, mkataba wa bandari zetu na DP World na uboreshaji wa hifadhi ya Ngorongoro na kuyafanya kuwa ndiyo sera yao wakati kuna vyombo halali vinavyo shughulikia mambo haya.

Leo Rais kasema na kutoa maelekezo, sidhani kama hawa chadema wamemuelewa. Watapinga maelekezo haya kama kawaida yao. Ikumbukwe kwa mila zetu, tamaduni zetu na sheria zetu, maelekezo ya mkuu wa nchi ni maagizo na ni amri. Hawa jamaa watayapinga na kumteza aliyeyatoa. Ni utovu wa nidhamu na ukosefu wa adabu.
Hizi mila na tamaduni za aina hii itakuwa ndio CHADEMA wamekusudia kuzivunja.
 
Duniani kote upinzani unaikosoa serikali, kama SSH anategemea vyama vya upinzani watangaze sera zao bila kukosoa mapungufu ya serikali iliyopo madarakani basi nayeye anaviashiria vya udikteta.
Na Sera zao watazinadi lini
 
Kwani aliruhusu ili wamsifie!
 
Duniani kote upinzani unaikosoa serikali, kama SSH anategemea vyama vya upinzani watangaze sera zao bila kukosoa mapungufu ya serikali iliyopo madarakani basi nayeye anaviashiria vya udikteta.
Ulitakiwa kudanganya kipindi ambapo mambo ya dunia hayakuwa wazi. Tunafuatilia siasa kote ulimwenguni vyama vya siasa vinasemana. Wanasiasa wanasemwa na madhaifu na matendo yao maovu yasemwa waziwazi tena hadharani. Ndiyo siasa zenyewe uwanja wenye mtifuano mzito. Unapiga mtu na kitu kizito kwenye siasa unapigwa na hoja nzito zaidi hadi kieleweke. Tuendelee!
Kuna sheria, kanuni na
taratibu za vyama vya upinzani kuikosoa au kuipinga serikali. Kila nchi ina sheria, kanuni na taratibu zake, siyo copy & paste za nchi zingine. Principle yake ni wengi wape, wachache wasikilizwe.

Upingaji na ukosoaji wenye tija hasa hufanyika bungeni. Na kama chama kina wingi wa wawakilishi bungeni, hoja zao hupita na kutekelezwa bungeni. Chama kilicho na wawakilishi wachache bungeni, hoja zao husikilizwa lakini haziwezi kupitishwa kama hazijaungwa mkono na walio wengi bungeni.

Sasa chama kikiwa na wawakilishi wachache bungeni, kinajua kwamba hoja zao hazitapita bungeni, kikaamua kutumia ruzuku yake kuzunguka nchi nzima majukwaani kuilazimisha serikali kukubali hoja zake; huu ni uvunjifu wa sheria, kanuni na taratibu za nchi. Lazima ukemewe na hatua stahiki za kisheria zinaweza kuchukuliwa dhidi ya chama hicho au dhidi ya baadhi ya viongozi wa chama hicho. Jambo hili ni la muhimu sana kwani wakiachwa waendelee litasababisha vurugu na uvunjifu wa amani kama inavyotokea kwa jirani zetu huko Kenya.
Mjinga wewe. Toa uharo wako wa kipumbavu. Huijui siasa wala majukumu ya vyama vya siasa. Funga bakuli lako.
Chama kilichojaa mijitu kama wewe, iliyokosa malezi mema ya wazazi wao na jamii yake, moto lazima utakuwa unwaka ndani ya chama hicho. Huwezi kuamini kama midomo ya mijitu haya inayotoa haya maneno, inatumika pia kulia chakula au kusema "baby I love you"! Inahitaji rehabilitation.
 
Una maana gani kusema wamekua “wakidandia”?
Baada ya bunge kuridhia mkataba tata wa IGA kati ya JMT na DP World, tarehe 10 June 2023, watanzania wengi wa nyanja mbali mbali walijitokeza kujadili suala hili. Mjadala ulipamba moto na serikali kuamua kukusanya maoni yaliyokuwa yanatolewa na wananchi kusuhu mkataba huu kwa lengo la kuyafanyia kazi. Mjadala uliendelea vizuri kwa takribani miezi miwili. Ghafla chadema wakadandia na kupoka mjadala huu na kuufanya kuwa sera yao kwenye mikutano ya hadhara waliyokuwa wakiifanya sehemu mbali mbali ya nchi. Hivyo sakata la bandari likawa ni la mapambano ya kisiasa kati ya chadema na serikali ya ccm. Hii ikasababisha wananchi kusitisha mjadala waliokuwa wanafanya wa kutoa maoni yao kwa serikali. Kwani sasa mwananchi akipinga mkataba huu, alionekana ni mwana chadema na yule aliyekubaliana na mkataba huu alionekana ni mwana ccm! Mjadala ukafa na serikali ikaacha kukusanya maoni ya wananchi kwani serikali haiwezi kukusanya maoni ya chadema au wanachadema.

Hivyo ndivyo chadema ilichofanya kwa katiba mpya na wamasai kuhama kwa hiari kutoka Ngorongoro Crater ili kuepuka kupotea kwa hifadhi hiyo kutokana kuongezeka sana kwa shughuli za kibinadamu kwenye Crater hiyo ambayo iliorodheshwa kwenye Seven Wonders of the World.

Kama haya yote CHADEMA hawatakiwi kuyasemea, wanatakiwa wafanye nin
Wafuate sheria, kanuni na taratibu za nchi yetu, pamoja na kuzingatia maadili ya mtanzania, mila na desturi za mtanzania. Maoni na mapendekezo yao yawakilishwe bungeni kupitia kwa wabunge wao wa kuchaguliwa na wananchi na wale wa viti maalum vyao wasiowapenda.

Wakazane kutumia hiyo fursa waliyopewa ya mikutano ya hadhara kukijenga chama chao kwa kunadi sera za chama chao (kama wanzo), ili itakapofika mwaka 2025 waweze kuwa na wabunge wengi bungeni. Ikiwezekana washinde hata hicho kiti cha uraisi. Wahakikishe wanajipanga vizuri kulinda kura zao kwa kuweka mawakala waaminifu na wanaowalipa vizuri katika kila kituo cha kupigia kura. Uzoefu wa nyuma umeonesha kuwa chadema hutumia vijana waganga njaa kama mawakala wao na huwa hawalipwi hata senti moja na chama chao kusimamia kura kwenye vituo. Hivyo huwa ni rahisi sana kununuliwa na CCM kwa pesa kidogo cha kama laki tano tu. Chadema watunze hiyo ruzuku ili muda utakapofika waweze kuwalipa hawa mawakala wao angalao Sh. million tatu kila mmoja. Sasa hivi wanatumia vibaya ruzuku hii kwa kulipana posho ya kuzunguka ovyo ovyo kila mahali. Watajikuta wakati ukifika hawana risasi aka posho kwa mawakala wa kulinda kura zao na kuambulia kifo cha mende.

Nguvu ya chama cha siasa chochote inatokana na wingi wa wabunge wao ndani ya bunge kwani bungeni ndipo mahali pekee pa maamuzi ya yote serikali inayopaswa kuyafanya. Hivyo hizo ndoto zao za katiba mpya na mengine zitawezekana tu kama watakuwa na majority bungeni na kushinda kiti cha uraisi. Hivyo kwa sasa zibaki tu kuwa ndoto na wasitake kushinikiza CCM yenye majority bungeni kutekeleza ndoto zao, hilo haliwezekani po pote duniani na hata huko ahera.
 
Back
Top Bottom