Hivi CHAUMMA Bado Wanaendelea na Ziara au Wamesitisha. Maana sijawasikia Kabisa kwa Karibu Wiki nzima

Hivi CHAUMMA Bado Wanaendelea na Ziara au Wamesitisha. Maana sijawasikia Kabisa kwa Karibu Wiki nzima

Wanaendelea mkuu kama siyo jana ni juzi walikua Moshi, mzee wa ubwabwa alipiga mikutano mpaka akalazwa kcmc hsptl.
 
Mzee wa ubwabwa kalazwa kcmc wodi ya watu maarufu kutokana na uchovu ,ziara imesimama kwa mda.
Usikute vifaranga wa bata wamefanya yao ili mama bata aingie mzimamzima, mzee kakaribisha panya buku shambani kwake wanakula hazdi mzizi.
 
Wanasubiri mzee wa ubwabwa apate ahueni kwenye wodi ya watu maarufu huko KCMC manispaa ya moshi
 
Chopa lao lilmepigwa limepaparise, Mzee wa Ubwabwa wanataka kumtoa sadaka ili chama wakiteke mazima yupo KCMC.
Bata aliyewataguliza vifaranga bado anasoma mchezo.
Wananchi wamegoma kuwaelewa kwa hizo hoja zao za kinafiki.
kifupi project hii kwa usaidizi na CCM ishafeli - mapokea yapo under 8%. Aliyefanya upembuzi yakinifu akamatwe haraka ni mwizi & kibaka.
 
Wasichokijua wafadhili wa mizengwe ya kisiasa mbalimbali ni kwamba wale wanaofadhiliwa lengo ni kupata pesa na siyo kufanikisha lengo la wafadhili.
Kwa hiyo,akina Kigaila na Mrema hawajali kama lengo la kuifunika Chadema linatimia au hapana.
Mwenyekiti chaji imekata yuko gereji KCMC wana mriboot.
 
Mfadhili anatoa kwa kuangalia impact. So far haoni kitisho alichotegemea, hivyo wamerudi mezani.
 
Wasichokijua wafadhili wa mizengwe ya kisiasa mbalimbali ni kwamba wale wanaofadhiliwa lengo ni kupata pesa na siyo kufanikisha lengo la wafadhili.
Kwa hiyo,akina Kigaila na Mrema hawajali kama lengo la kuifunika Chadema linatimia au hapana.
 
Wasichokijua wafadhili wa mizengwe ya kisiasa mbalimbali ni kwamba wale wanaofadhiliwa lengo ni kupata pesa na siyo kufanikisha lengo la wafadhili.
Kwa hiyo,akina Kigaila na Mrema hawajali kama lengo la kuifunika Chadema linatimia au hapana.
Tumeona kwenye mitandao chopa waliokodi imebebwa na lorry 🤣
 
Back
Top Bottom