Hivi CHAUMMA Bado Wanaendelea na Ziara au Wamesitisha. Maana sijawasikia Kabisa kwa Karibu Wiki nzima

Hivi CHAUMMA Bado Wanaendelea na Ziara au Wamesitisha. Maana sijawasikia Kabisa kwa Karibu Wiki nzima

Tumeona kwenye mitandao chopa waliokodi imebebwa na lorry 🤣
Nilicheka sana.Mara ya kwanza kuona ndege imebebwa na gari ni pale Dodoma.Kuna mfanyabiashara wa hotel inayoitwa African Dream, ambayo Lissu alimtuhumu Makonda kuwa ndipo alipokuwa wakati anaratibu tukio,alinunua ndege mbovu pale uwanja wa ndege ili aiweke kama kivutio cha biashara yake ya hoteli.

Hata hivyo kutoka hotelini hadi uwanja wa ndege ni kama kilometa moja tu.
Lakini hiyo ya Mzee wa ubwabwa inaonekana ilikuwa inaenda mbali zaidi.
 
Back
Top Bottom