Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtandika kitanda kazisha uchawa.Wote hao ni CHAWA 😂
Wewe unajionaje unafaa kushika nafasi yake tukuachie!? kama wew hutoshi basi tafuta mbadala umlete hapa! tumpigie kura,Wakuu kuna CCM isiwe dhambi wala kuwa Upinzani isiwe dhambi
Ni lini Erythrocytes au MMM wameacha kumsifia na kumtetea Mbowe ?
Je Mwenyekiti hakosei ? Je anastahili kuwepo kwenye uongozi milele
Wanachadema hatulioni hili ? Au sote ni machawa ?
Chawa ni chawa tu hakuna tofauti!Wakuu kuna CCM isiwe dhambi wala kuwa Upinzani isiwe dhambi.
Ni lini Erythrocytes au MMM wameacha kumsifia na kumtetea Mbowe?
Je, Mwenyekiti hakosei? Je, anastahili kuwepo kwenye uongozi milele?
Wanachadema hatulioni hili? Au sote ni machawa?
Wote ni CHAWA ila wengine wapo kwa maslahi binafsi zaidi.Wakuu kuna CCM isiwe dhambi wala kuwa Upinzani isiwe dhambi.
Ni lini Erythrocytes au MMM wameacha kumsifia na kumtetea Mbowe?
Je, Mwenyekiti hakosei? Je, anastahili kuwepo kwenye uongozi milele?
Wanachadema hatulioni hili? Au sote ni machawa?
Kila mtu ashinde mechi zake.Wakuu kuna CCM isiwe dhambi wala kuwa Upinzani isiwe dhambi.
Ni lini Erythrocytes au MMM wameacha kumsifia na kumtetea Mbowe?
Je, Mwenyekiti hakosei? Je, anastahili kuwepo kwenye uongozi milele?
Wanachadema hatulioni hili? Au sote ni machawa?
Ni kwasababu hana mamlaka.Kuna mwanachadema ametekwa au amepotea kwa kumkosoa Mbowe?
Chawa wa CHADEMA wanafaidika kwa kodi za raia?
CHAWA NI CHAWA TU SIYO LAZIMA WAWE WA MAMA HATA WA MBOWE NI CHAWA TU TENA HAO WAMEZIDI TUNAWAITA KUPEWakuu kuna CCM isiwe dhambi wala kuwa Upinzani isiwe dhambi.
Ni lini Erythrocytes au MMM wameacha kumsifia na kumtetea Mbowe?
Je, Mwenyekiti hakosei? Je, anastahili kuwepo kwenye uongozi milele?
Wanachadema hatulioni hili? Au sote ni machawa?
Wote machawa tuWakuu kuna CCM isiwe dhambi wala kuwa Upinzani isiwe dhambi.
Ni lini Erythrocytes au MMM wameacha kumsifia na kumtetea Mbowe?
Je, Mwenyekiti hakosei? Je, anastahili kuwepo kwenye uongozi milele?
Wanachadema hatulioni hili? Au sote ni machawa?
Endeleeni kujadili mkimaliza niambieniChawa ni mtu yeyote anayeunga mkono kila linalofanywa na mtu fulani bila kujali ni zuri ama baya. Kwa kimombo anajulikana kama yesman
Lucas Mwashambwa ni chawa wa mama, kwasabb anasifu kila jambo. Hawa akina Erythrocyte na MMM kama nao wanaunga mkono kila jambo linalofanywa na Mbowe, basi ni machawa wa Mbowe.
Hawana tofauti, Wote ni chawa.Wakuu kuna CCM isiwe dhambi wala kuwa Upinzani isiwe dhambi.
Ni lini Erythrocytes au MMM wameacha kumsifia na kumtetea Mbowe?
Je, Mwenyekiti hakosei? Je, anastahili kuwepo kwenye uongozi milele?
Wanachadema hatulioni hili? Au sote ni machawa?
Bora CCM wanabadirishana ila huyu bwana angetawala milele.Ni kwasababu hana mamlaka.
Mbowe ange fanikiwa kuliongoza taifa hili tungekuwa na Museven mwingine ndani ya nchi hii.
Kuliko nchi hii iongozwe na Mbowe bora CCM iendelee kutawala tu.
Mtu mwenye sifa za kuwa rais hapo chadema ni Lisu tu.
Achana na mambo ya "ange", hizo ni speculations zako tu, Mbowe mwenyewe kagombea urais mara moja tu akaachana na hiyo habari.Ni kwasababu hana mamlaka.
Mbowe ange fanikiwa kuliongoza taifa hili tungekuwa na Museven mwingine ndani ya nchi hii.
Kuliko nchi hii iongozwe na Mbowe bora CCM iendelee kutawala tu.
Mtu mwenye sifa za kuwa rais hapo chadema ni Lisu tu.
Wote ni watibeli sio.Hakuna tofauti