Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Mbowe kagombea Urais mara moja tu,Bora CCM wanabadirishana ila huyu bwana angetawala milele.
Kama tatizo ni Mbowe mbona hamkuwapa huo Urais Slaa, Lowassa au Lissu waliogombea baada yake??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbowe kagombea Urais mara moja tu,Bora CCM wanabadirishana ila huyu bwana angetawala milele.
Je CCM haikosei,je CCM wanastahili kuwepo kwenye utawala milele na milele?.Je, Mwenyekiti hakosei? Je, anastahili kuwepo kwenye uongozi milele?
Uhitaji miwani kujua kuwa mbowe ana urafi wa madaraka.Achana na mambo ya "ange", hizo ni speculations zako tu, Mbowe mwenyewe kagombea urais mara moja tu akaachana na hiyo habari.
Halafu ukigeuka upande wa pili unasema ni sawa tawa Ayatollah, Putin, Salman wa Saudia n.k kuwa viongozi wa milele!Uhitaji miwani kujua kuwa mbowe ana urafi wa madaraka.
Uenyekiti vipi?Mbowe kagombea Urais mara moja tu,
Kama tatizo ni Mbowe mbona hamkuwapa huo Urais Slaa, Lowassa au Lissu waliogombea baada yake??
Misukule ya mzee Mbowe inaamini kuwa huyu mzee ni genius aliefali masomo ya secondary kwa bahati mbaya tu ndio maana hakuweza kuendelea na elimu ya juu🙆♂️🙆♂️🙆♂️Wakuu kuna CCM isiwe dhambi wala kuwa Upinzani isiwe dhambi.
Ni lini Erythrocytes au MMM wameacha kumsifia na kumtetea Mbowe?
Je, Mwenyekiti hakosei? Je, anastahili kuwepo kwenye uongozi milele?
Wanachadema hatulioni hili? Au sote ni machawa?
Uenyekiti wake unawahusu CHADEMA, sio suala la kitaifa ukizingatia CHADEMA hata sio chama tawala.Uenyekiti vipi?
Chawa mpo kazini, hakuna tofauti kati na CCM.
huenda wanafadika na kupewa konyagi gentleman 🐒Kuna mwanachadema ametekwa au amepotea kwa kumkosoa Mbowe?
Chawa wa CHADEMA wanafaidika kwa kodi za raia?
Ana Bachelor of Public Administration kutoka chuo kimoja maarufu sana huko London, nadhan walisoma chuo kimoja na alie wahi kua naibu waziri wa kilimo na baadae kua Waziri mkuu wa Tanzania, wakati hayati Agustino Mrema akisoma bachelor hiyo hiyo online 🐒Misukule ya mzee Mbowe inaamini kuwa huyu mzee ni genius aliefali masomo ya secondary kwa bahati mbaya tu ndio maana hakuweza kuendelea na elimu ya juu🙆♂️🙆♂️🙆♂️
Hilo nalo NENO 😅😂👍Wakuu kuna CCM isiwe dhambi wala kuwa Upinzani isiwe dhambi.
Ni lini Erythrocytes au MMM wameacha kumsifia na kumtetea Mbowe?
Je, Mwenyekiti hakosei? Je, anastahili kuwepo kwenye uongozi milele?
Wanachadema hatulioni hili? Au sote ni machawa?
wanatofauti kubwa sana mkuu naweka mfano huu usipoelewa hapa ndo basi, chawa wa mama wamesikia toto afya card imetolewa wanashangilia na kuipongeza kwa nguvu serikali pamoja na kushambulia yeyote atayekosoa kwa aina yeyote ile. mwezi mmoja serikali inafuta uamuzi huo na kuirejesha toto afya card chawa wanaipongeza sana serikali kwa kusikia maoni ya wananchi na kwamba wamefanya jitihada kubwa kuleta ustawi katika afya (ikumbukwe hapa mwazoni wale waliokua wanakosoa waliwaita wametumwa na hawaitakii mema serikali_ na serikali ilipoirudisha wameishukuru kwa kua sikivu) chawa wakiacha hiyo tabia tajwa hapo juu ni halali kutetea chama chao kwenye vitu walivofanya vyemaWakuu kuna CCM isiwe dhambi wala kuwa Upinzani isiwe dhambi.
Ni lini Erythrocytes au MMM wameacha kumsifia na kumtetea Mbowe?
Je, Mwenyekiti hakosei? Je, anastahili kuwepo kwenye uongozi milele?
Wanachadema hatulioni hili? Au sote ni machawa?
Haaa ,embu tuwekee matokea yake ya elimu ya sekondari hapa ya kidato cha sita ,hiyo elimu kwa njia ya posta hata lyatonga mrema alikuwa nayoAna Bachelor of Public Administration kutoka chuo kimoja maarufu sana huko London, nadhan walisoma chuo kimoja na alie wahi kua naibu waziri wa kilimo na baadae kua Waziri mkuu wa Tanzania, wakati hayati Agustino Mrema akisoma bachelor hiyo hiyo online 🐒
Siku tukimwondoa shekh Abubakary madarakani,utafute pa kwenda...Endeleeni kujadili mkimaliza niambieni
endelea kufurahia konyagi za mwenyekiti gentleman 🐒Wote ni machawa, ila uchawa wa ChoiceVariable, Tlaatlaah, Lucas Mwashambwa etc ni wa kishamba maana wanashabikia na kusifia every Tom n' Jerry!!
Nazungumzia kusoma elimu ya juu gentleman,Haaa ,embu tuwekee matokea yake ya elimu ya sekondari hapa ya kidato cha sita ,hiyo elimu kwa njia ya posta hata lyatonga mrema alikuwa nayo
Ukiambiwa ukweli kaa kwa utulivu, mkubwa akivuliwa nguo anachutama. Konyagi sinywi, na hata ikitokea nikanywa ni kwa starehe, sio kupunguza stress kama nyie machawa.endelea kufurahia konyagi za mwenyekiti gentleman 🐒