Wanachama wa vyama vya siasa Tanzania wanafanana kwa sehemu kubwa.
Kwani Si kuna wanaccm walikuwa CHADEMA wakahamia CCM na Kazi walizokuwa wanazifanya CHADEMA si ndio zilezile wanazifanya CCM.
Angalau mtu kama Lisu unaweza kusema sio Chawa. Yaani anauwezo wa kusema ukweli bila kujali kaufanya Nani.
Mtu yeyote asiyeweza kusema ukweli ni CHAWA tuu
Baadhi ya CHADEMA siku nikawaambia wamemdhalilisha Mwenyekiti wao Mbowe kwa kukataa kutoka kwenye maandamano badala wakiri ukweli wanapinga.
Mtu asiyeweza kukubali ukweli wote anatofauti gani na kina
Lucas Mwashambwa