PHD Holder
Member
- Sep 12, 2024
- 68
- 107
Hakuna baya Tajiri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unaenda kubadilisha na juice au unawauzia wadau reja reja 🤣Ukiambiwa ukweli kaa kwa utulivu, mkubwa akivuliwa nguo anachutama. Konyagi sinywi, na hata ikitokea nikanywa ni kwa starehe, sio kupunguza stress kama nyie machawa.
Uko na disorder, kwamba kila mtu akipinga machawa ya ccm basi yupo cdm? Haya endelea kusifu na kuabudu gentleman!🤣unaenda kubadilisha na juice au unawauzia wadau reja reja 🤣
sasa msinywe kwenye vikao halafu mnakuja kwenye press conference na hangover...
maana maamamuzi na maazimio yenu ni pure ya kilevi,
na kwa mwendo huu hakuna mahali mnaenda gentleman 🐒
Wanafaidika na ruzuku ya chama/Kodi za Wananchi,wote ni machawa kasoro mimiKuna mwanachadema ametekwa au amepotea kwa kumkosoa Mbowe?
Chawa wa CHADEMA wanafaidika kwa kodi za raia?
Mbona sasa hawakumkimbia Mbowe mwaka 2020 mwishoni, 2021 na 2022 wakati CHADEMA ikiwa haipokei ruzuku??Wanafaidika na ruzuku ya chama/Kodi za Wananchi,wote ni machawa kasoro mimi
Kwani wengine wamemkimbia nani? Wamkimbie wanapokula?Mbona sasa hawakumkimbia Mbowe mwaka 2020 mwishoni, 2021 na 2022 wakati CHADEMA ikiwa haipokei ruzuku??
enjoy konyagi kibuwa na kischana kwa kumsifia mwamba wa kaskazini mwenye chuki na ghadhab kama nyumbu dhidi ya wapinzani wenzake huru 🐒Uko na disorder, kwamba kila mtu akipinga machawa ya ccm basi yupo cdm? Haya endelea kusifu na kuabudu gentleman!🤣
Kweli !wanatofauti kubwa sana mkuu naweka mfano huu usipoelewa hapa ndo basi, chawa wa mama wamesikia toto afya card imetolewa wanashangilia na kuipongeza kwa nguvu serikali pamoja na kushambulia yeyote atayekosoa kwa aina yeyote ile. mwezi mmoja serikali inafuta uamuzi huo na kuirejesha toto afya card chawa wanaipongeza sana serikali kwa kusikia maoni ya wananchi na kwamba wamefanya jitihada kubwa kuleta ustawi katika afya (ikumbukwe hapa mwazoni wale waliokua wanakosoa waliwaita wametumwa na hawaitakii mema serikali_ na serikali ilipoirudisha wameishukuru kwa kua sikivu) chawa wakiacha hiyo tabia tajwa hapo juu ni halali kutetea chama chao kwenye vitu walivofanya vyema
Binafsi nimejiridhisha kuwa wewe Erythrocyte siyo chawa wa Mbowe kwasabb chawa huwa anufaika lkn wewe huna manufaa yoyote unayopata kwa Mbowe.Endeleeni kujadili mkimaliza niambieni
Wameelekezwa kunichafua na kuniloga ili WalipweBinafsi nimejiridhisha kuwa wewe Erythrocyte siyo chawa wa Mbowe kwasabb chawa huwa anufaika lkn wewe huna manufaa yoyote unayopata kwa Mbowe.
Mleta mada alikusudia kukuchafua tu.
Chawa wa Mwenyekiti mnatumia nguvu sana kutetea ujinga.Uenyekiti wake unawahusu CHADEMA, sio suala la kitaifa ukizingatia CHADEMA hata sio chama tawala.
Ni utoto au ujinga tu kutaka kulifanya suala la mwenyekiti wa chama kuwa suala la kitaifa. Ukiona uenyekiti wa Mbowe unakukera sana si unahamia tu chama kingine, tatizo ni kwamba katika taifa ukiona rais anafanya mambo yasiyofaa au anang'ang'ani madaraka wengi hawa wa raia hawana fursa na hawawezi kuhama tu nchi kama unavyoweza kuhama chama.
Jibu swal we si chawa wa mbowe? Una tofaut gan na mwashambawaUnatafuta Umaarufu JF Kwa kushambulia usiowajua? Nani kakudanganya kwamba unaweza kuwa Maarufu kwa ID fake?
Joined August 2024, ndio maana!Jibu swal we si chawa wa mbowe? Una tofaut gan na mwashambawa
Inakera sana vyawa wa chadema kuwaona wapenda CCM ndiyo chawa, hawajitambui kabisa!Hakuna tofauti
Wote ni watibeli sio.
Inakera sana vyawa wa chadema kuwaona wapenda CCM ndiyo chawa, hawajitambui kabisa!
Kuna tofauti kubwa. Chawa wa Mbowe wanasifu yale mambo bora anayosema na kutenda. Akikosea wanaminya kimya. Wanajikausha kama hakuna kilichotokea. Sijui wanapata faida gani kwa kazi hiyo.Wakuu kuna CCM isiwe dhambi wala kuwa Upinzani isiwe dhambi.
Ni lini Erythrocytes au MMM wameacha kumsifia na kumtetea Mbowe?
Je, Mwenyekiti hakosei? Je, anastahili kuwepo kwenye uongozi milele?
Wanachadema hatulioni hili? Au sote ni machawa?