Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
Mimi ni msema kweli ambaye huusema ukweli bila kupepesa macho au kuchagua wa kumwambia ukweli.Wanachama wa vyama vya siasa Tanzania wanafanana kwa sehemu kubwa.
Kwani Si kuna wanaccm walikuwa CHADEMA wakahamia CCM na Kazi walizokuwa wanazifanya CHADEMA si ndio zilezile wanazifanya CCM.
Angalau mtu kama Lisu unaweza kusema sio Chawa. Yaani anauwezo wa kusema ukweli bila kujali kaufanya Nani.
Mtu yeyote asiyeweza kusema ukweli ni CHAWA tuu
Baadhi ya CHADEMA siku nikawaambia wamemdhalilisha Mwenyekiti wao Mbowe kwa kukataa kutoka kwenye maandamano badala wakiri ukweli wanapinga.
Mtu asiyeweza kukubali ukweli wote anatofauti gani na kina Lucas Mwashambwa
Mimi ni msema kweli ambaye huusema ukweli bila kupepesa macho au kuchagua wa kumwambia ukweli.
Wakuu kuna CCM isiwe dhambi wala kuwa Upinzani isiwe dhambi.
Ni lini Erythrocytes au MMM wameacha kumsifia na kumtetea Mbowe?
Je, Mwenyekiti hakosei? Je, anastahili kuwepo kwenye uongozi milele?
Wanachadema hatulioni hili? Au sote ni machawa?
Vipi kuhusu anayesema Mwenyekiti aendelee huku kakaa madarakani zidi ya 20 kwenye chama cha Demokrasia?Tatizo ni kwa uchawa ni unafiki. Huwezi kuwa mnafiki kama unapigania haki na kuongea ukweli. Lakini mtu anasema uchaguzi ulikuwa huru huyu ni chawa au mjinga. Huwezi kulinganisha hawa. Sio wote wanaotetea haki na demokrasia Tanzania ni chadema lakini ukitetea utekaji, wizi wa kura, kuzuia katiba mpya wewe ni chawa maana ni mnafiki yaani unapinga vitu ambavyo ni kwa manufaa ya nchi. Tafuta wanafiki hapa utajua machawa ni wakina nani
Usitoke nje ya mada hapa tuna mjadili mbowe.Halafu ukigeuka upande wa pili unasema ni sawa tawa Ayatollah, Putin, Salman wa Saudia n.k kuwa viongozi wa milele!
Kalaghabao.
Nje ya madaUnatafuta Umaarufu JF Kwa kushambulia usiowajua? Nani kakudanganya kwamba unaweza kuwa Maarufu kwa ID fake?
Hao ni chawa wa Mbowe!Wakuu kuna CCM isiwe dhambi wala kuwa Upinzani isiwe dhambi.
Ni lini Erythrocytes au MMM wameacha kumsifia na kumtetea Mbowe?
Je, Mwenyekiti hakosei? Je, anastahili kuwepo kwenye uongozi milele?
Wanachadema hatulioni hili? Au sote ni machawa?
Chadema ina chawa wengi sana
Sinayaona .bali naona juhudi kubwa zinazofanyika kila leo katika kuwapa tabasamu na matumaini mamilioni ya watanzaniaEleza madhaifu matatu ya utawala wa Samia suluhu
Sinayaona .bali naona juhudi kubwa zinazofanyika kila leo katika kuwapa tabasamu na matumaini mamilioni ya watanzania