tonicimmobility
JF-Expert Member
- Jun 17, 2025
- 493
- 1,040
HahaKapata unene wa kiujomba
Umewaza mbali,lakini,muwazie mambo chanya zaidi.Na,watu wamefurahi kumuona ndugu yao amerudi tena/TUMERUDI TENA"!Mi nawashangaa zaidi watu wanaompa hongera kwa huo mwili.
Wakati mimi nawaza tofauti, kwamba huwenda jamaa amepatwa na tatizo la kiafya and probably ni kisukari. Lakini watanzania wenzangu bado wanazidi kumpa hongera wana amini kitambi (mtumbo mkubwa) ni muonekano mzuri kiafya unaosadifu hali safi ya maisha.
Kwa huo mwili ilikuwa ni wa kumpa pole, huo sio mwili mzuri na haipendezi kujitamba kumiliki mwili wa namna hiyo.
Kwa huo mwili inawezekana kwa asilimia kubwa kuwa Chid yupo kwenye state mbaya kiafya kuliko alivyokuwa mwanzo.
Yeah nami nimewaza hivi mkuu usikute ndiyo yale yale ya maradonaMi nawashangaa zaidi watu wanaompa hongera kwa huo mwili.
Wakati mimi nawaza tofauti, kwamba huwenda jamaa amepatwa na tatizo la kiafya and probably ni kisukari. Lakini watanzania wenzangu bado wanazidi kumpa hongera wana amini kitambi (mtumbo mkubwa) ni muonekano mzuri kiafya unaosadifu hali safi ya maisha.
Kwa huo mwili ilikuwa ni wa kumpa pole, huo sio mwili mzuri na haipendezi kujitamba kumiliki mwili wa namna hiyo.
Kwa huo mwili inawezekana kwa asilimia kubwa kuwa Chid yupo kwenye state mbaya kiafya kuliko alivyokuwa mwanzo.
Kwaio ule muonekano wakati anakula madawa ndo mzuri ausio we mshamba kwani yeye ni mtu wa kwanza kuwa na kisukari acha ujuajiMi nawashangaa zaidi watu wanaompa hongera kwa huo mwili.
Wakati mimi nawaza tofauti, kwamba huwenda jamaa amepatwa na tatizo la kiafya and probably ni kisukari. Lakini watanzania wenzangu bado wanazidi kumpa hongera wana amini kitambi (mtumbo mkubwa) ni muonekano mzuri kiafya unaosadifu hali safi ya maisha.
Kwa huo mwili ilikuwa ni wa kumpa pole, huo sio mwili mzuri na haipendezi kujitamba kumiliki mwili wa namna hiyo.
Kwa huo mwili inawezekana kwa asilimia kubwa kuwa Chid yupo kwenye state mbaya kiafya kuliko alivyokuwa mwanzo.
We ndo haujui chochote mkuu!Kwaio ule muonekano wakati anakula madawa ndo mzuri ausio we mshamba kwani yeye ni mtu wa kwanza kuwa na kisukari acha ujuaji
We ndo haujui chochote mkuu!
Embu sikiliza kwanz kabla ya kucomment!
Unajua sober wanakula na kukaa tu hawafanyi kazi kwaio iko kitambi kitaisha tu ebu mwangalie msanii lord eyes alivotoka soba na saiv yupoje kamcheki kwenye nyimbo ya wapolo alivotoka soba na saiv soba hakuna kazi nikula kulala saiz anapga show movement lazma kitaisha maana nikitambi Cha kufugwa sio Cha asiliWe ndo haujui chochote mkuu!
Embu sikiliza kwanz kabla ya kucomment!
Rudia kusoma maona ya jamaa usikimbilie kumwambia mshamba, wewe ulitakiwa kutoa maoni yako binafsiKwaio ule muonekano wakati anakula madawa ndo mzuri ausio we mshamba kwani yeye ni mtu wa kwanza kuwa na kisukari acha ujuaji
Vidonge
Lakini mimi nimeangalia kwa jicho tofauti, inaweza kuwa maradhi hayo. Maana kafumuka tena kwa muda mfupi tuLack of Discipline ,
Chidbenz anakosa nidhamu ya kila kitu kuanzia kula , kufanya Kazi n.k
Nidhamu means self control au kuwa na kiasi.
Nadhani watu wa karibu either hawamsaidii au yeye hawasikilizi.
Kwakuwa alibidi kuwa healed Ila hakustahili kuwa na huo Mwonekano.
Maaana kwa age yake na huo unene ni hatari anaweza kupata magonjwa kama kisukari , Pressure n.k