Hivi Chid Benz alikuwa analishwa nini huko sober?

Hivi Chid Benz alikuwa analishwa nini huko sober?

Kunenepa au kukonda huamui wewe me naona NI suala liko nje ya uwezo wetu kwa mfano me nataka nijae kidogo Ka mwili kaongezeke ila ndo siwezi najitahid kula na bia ila wapi
Kupunguza au kukwepa unene na uzito ukiopitiliza lipo ndani ya uwezo wetu watu karibu wote.
Isipokuwa kwa watu wachache wenye tatizo la kuzaliwa nalo la homoni.
 
Ku overcome drug addiction ni jambo lingine, na ku maintain mwili wa kiafya ni jambo jingine.

Sikushangai kuufurahia mwili wa aina hiyo kwasababu una reflect fikra halisi za watu wengi katika jamii yetu.
Mimi ni mtu wa mazoezi toka nakua mpaka leo tunaenda kuzeeka hata nikifika Nchi ambayo ni mgeni kitu cha kwanza natafuta sehemu ya kufanya mazoezi najua umuhimu wa kutunza mwili nachosema huyo jamaa kwa jinsi alivyopoteza mwili kutokana na sumu kwa sasa hivi anaonekana ni mtu kwa sababu madhara ya sumu ni makubwa kuliko hata hayo magonjwa unayoyazungumzia.
 
Duuh wabongo noma wanasema mpaka chuma....Haaah just kidding
 
Kunenepa au kukonda huamui wewe me naona NI suala liko nje ya uwezo wetu kwa mfano me nataka nijae kidogo Ka mwili kaongezeke ila ndo siwezi najitahid kula na bia ila wapi
Usijali chairman wako "Chama Cha Wembamba" nafurahi kusikia hivo.
Wajumbe watakupa ukatibu kikao kijacho.

Karibu chamani.
 
Mimi ni mtu wa mazoezi toka nakua mpaka leo tunaenda kuzeeka hata nikifika Nchi ambayo ni mgeni kitu cha kwanza natafuta sehemu ya kufanya mazoezi najua umuhimu wa kutunza mwili nachosema huyo jamaa kwa jinsi alivyopoteza mwili kutokana na sumu kwa sasa hivi anaonekana ni mtu kwa sababu madhara ya sumu ni makubwa kuliko hata hayo magonjwa unayoyazungumzia.
Subiri kidogo... hivi unasema kisukari ni afadhali kuliko uraibu wa madawa ya kulevya?

Kivipi mapambano ya kuondokana na drug addiction ambayo ni ya kihisia, kitabia, na kijamii yachukuliwe kuwa magumu kiasi cha kupuuza madhara ya kisukari, ugonjwa usio na tiba ya moja kwa moja na unaohitaji ufuatiliaji wa maisha yote?

Kwako wewe unaona mtu anayepambana na drug addiction yupo kwenye hali ngumu kuliko yule anayepambana na kisukari, figo na matatizo ya moyo?
 
Jamaa hata nguvu Bado hazijarudi vizuri.... Angeingia chimbo kwanza hata mwaka hivi aachane na ma media kwanza
 
Chidi alisaidiwa na SOBER ipo?
Maana sober zipo nyingi.
 
Back
Top Bottom