Hivi Chid Benz alikuwa analishwa nini huko sober?

Lakini mimi nimeangalia kwa jicho tofauti, inaweza kuwa maradhi hayo. Maana kafumuka tena kwa muda mfupi tu


Yes mkuu Ila Soba maana yake ni rehabilitation (ukarabati)

Kwahiyo wapo ambao wanatoka salama na kurudi na Afya zao na wengine kupata tatizo jipya .


Mfano yule Dada anaitwa Hawa aliyekuwa ameimba na Diamond alivyofika sober alipona Ila ugonjwa mwingine ukaibuka.

So kwakuwa amekuwa anatumia madawa miaka mingi hali kama hiyo kutokea inaweza kuchangiwa na past life yake.
 
Hii nayo ni roho mbaya
 
Kisukari na kitambi wapi na wapi wee ushaona wapi? Tumpongeze kwa kitambi hiyo ni dalili amerudi kwenye normal eating habits sio mteja tena. Sasa anachangamoto ya kawaida ya watu wote kuchoma mafuta ya kukata kitambi which is easier kwake sababu ni mtu wa matizi
 
We ni daktari kama sio sidhani ni shihi kuwa mashauri wa kiafya na matibabu
 
Thank you umeongea vyema kabisa, huyo bwana amechangia kinafki sana na roho mbaya
 
Chid kanenepa hadi nami natamani niende huko kutengeneza shavu😂🤣😂🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…