Huo mwili sio jambo chanya.Umewaza mbali,lakini,muwazie mambo chanya zaidi.Na,watu wamefurahi kumuona ndugu yao amerudi tena/TUMERUDI TENA"!
Vidonge gani mshana? Kwa uelewa wangu mdogo tangu nilivyoona muonekano wake nikawaza labda anatumia vidonge vya Yale mambo maana ndo hua yananenepesha mtu ghafla SanaVidonge
Tunatofautiana mawazoHii nayo ni roho mbaya
Kitambi na Kisukari ni mutual inclusiveKisukari na kitambi wapi na wapi wee ushaona wapi? Tumpongeze kwa kitambi hiyo ni dalili amerudi kwenye normal eating habits sio mteja tena. Sasa anachangamoto ya kawaida ya watu wote kuchoma mafuta ya kukata kitambi which is easier kwake sababu ni mtu wa matizi
Logical fallacy of "Ad Hominem Fallacy" Kushambulia mtoa hoja badala ya hoja yenyeweWe ni daktari kama sio sidhani ni shihi kuwa mashauri wa kiafya na matibabu
Hujui ubaya wa addiction ndo maana unaleta ujuaji wa kijinga. Huo mwili ni kazi rahisi kuuondoa kuliko uraibu wa madawa ya kulevya. Karibu watu wote wanaotoka sober house hunenepa.Mi nawashangaa zaidi watu wanaompa hongera kwa huo mwili.
Wakati mimi nawaza tofauti, kwamba huwenda jamaa amepatwa na tatizo la kiafya and probably ni kisukari. Lakini watanzania wenzangu bado wanazidi kumpa hongera wana amini kitambi (mtumbo mkubwa) ni muonekano mzuri kiafya unaosadifu hali safi ya maisha.
Kwa huo mwili ilikuwa ni wa kumpa pole, huo sio mwili mzuri na haipendezi kujitamba kumiliki mwili wa namna hiyo.
Kwa huo mwili inawezekana kwa asilimia kubwa kuwa Chid yupo kwenye state mbaya kiafya kuliko alivyokuwa mwanzo.
Punguza ujuaji wewe Dr Hayawani.Lack of Discipline ,
Chidbenz anakosa nidhamu ya kila kitu kuanzia kula , kufanya Kazi n.k
Nidhamu means self control au kuwa na kiasi.
Nadhani watu wa karibu either hawamsaidii au yeye hawasikilizi.
Kwakuwa alibidi kuwa healed Ila hakustahili kuwa na huo Mwonekano.
Maaana kwa age yake na huo unene ni hatari anaweza kupata magonjwa kama kisukari , Pressure n.k
Watu wanajiropokea tu bila kuwa na facts.Mmesahau Rayc nae alinenepaga sana
Ni lini kitambi kikawa tiba ya uraibu?Hujui ubaya wa addiction ndo maana unaleta ujuaji wa kijinga. Huo mwili ni kazi rahisi kuuondoa kuliko uraibu wa madawa ya kulevya. Karibu watu wote wanaotoka sober house hunenepa.
Wewe ni mtu mjinga uliyeamua kubisha kama mwehu. Fuatilia kwanza mchakato mzima wa matibabu ya watu waliokuwa mateja na side effects zake kabla ya kuja kujibu siasa za kipumbavu hapa.Ni lini kitambi kikawa tiba ya uraibu?
Au tuseme, kwa mtazamo wako, kuongezeka uzito ghafla ni cheti cha afya bora?
Kusema “kitambi ni kazi rahisi kukIondoa” ni sawa na kusema “kuvaa suti ni tiba ya malaria.”
Au ni sawa na kusema “kuondoa jengo ni rahisi kuliko kuondoa tetemeko la ardhi.” Unapuuza kabisa muktadha wa kiafya, mabadiliko ya mwili, na sababu zinazopelekea unene ghafla.
Ni hoja ya kijinga inayodhihirisha ujinga wa kimfumo au mkumbo uliojengeka kwenye jamii, ambapo muonekano wa nje unapewa sana uzito kuliko viashiria vya ndani vya afya.
Kwamba unataka jamaa awe na tako kubwa?Ukiwa na kitambi bila tako kutembea inakua shida, unakua kama una mimba.
Mmh.. ata kuongea now anaongea km mtu isee amechange kwa 25%Mi nawashangaa zaidi watu wanaompa hongera kwa huo mwili.
Wakati mimi nawaza tofauti, kwamba huwenda jamaa amepatwa na tatizo la kiafya and probably ni kisukari. Lakini watanzania wenzangu bado wanazidi kumpa hongera wana amini kitambi (mtumbo mkubwa) ni muonekano mzuri kiafya unaosadifu hali safi ya maisha.
Kwa huo mwili ilikuwa ni wa kumpa pole, huo sio mwili mzuri na haipendezi kujitamba kumiliki mwili wa namna hiyo.
Kwa huo mwili inawezekana kwa asilimia kubwa kuwa Chid yupo kwenye state mbaya kiafya kuliko alivyokuwa mwanzo.
Awe Chidi Wowowo kama Mwijaku.Kwamba unataka jamaa awe na tako kubwa?
State mbaya kiafya kuliko ya mwanzo wakati anatumia sumu mazee unaijua sumu au unaisikia tu..Mi nawashangaa zaidi watu wanaompa hongera kwa huo mwili.
Wakati mimi nawaza tofauti, kwamba huwenda jamaa amepatwa na tatizo la kiafya and probably ni kisukari. Lakini watanzania wenzangu bado wanazidi kumpa hongera wana amini kitambi (mtumbo mkubwa) ni muonekano mzuri kiafya unaosadifu hali safi ya maisha.
Kwa huo mwili ilikuwa ni wa kumpa pole, huo sio mwili mzuri na haipendezi kujitamba kumiliki mwili wa namna hiyo.
Kwa huo mwili inawezekana kwa asilimia kubwa kuwa Chid yupo kwenye state mbaya kiafya kuliko alivyokuwa mwanzo.
Atakuwa madhara ya madawa ya kulevya anayasikia tu hewani..Mmh.. ata kuongea now anaongea km mtu isee amechange kwa 25%
Dah wananchi mna mambo sana nyie 😂Awe Chidi Wowowo kama Mwijaku.