Kupunguza au kukwepa unene na uzito ukiopitiliza lipo ndani ya uwezo wetu watu karibu wote.Kunenepa au kukonda huamui wewe me naona NI suala liko nje ya uwezo wetu kwa mfano me nataka nijae kidogo Ka mwili kaongezeke ila ndo siwezi najitahid kula na bia ila wapi
Mimi ni mtu wa mazoezi toka nakua mpaka leo tunaenda kuzeeka hata nikifika Nchi ambayo ni mgeni kitu cha kwanza natafuta sehemu ya kufanya mazoezi najua umuhimu wa kutunza mwili nachosema huyo jamaa kwa jinsi alivyopoteza mwili kutokana na sumu kwa sasa hivi anaonekana ni mtu kwa sababu madhara ya sumu ni makubwa kuliko hata hayo magonjwa unayoyazungumzia.Ku overcome drug addiction ni jambo lingine, na ku maintain mwili wa kiafya ni jambo jingine.
Sikushangai kuufurahia mwili wa aina hiyo kwasababu una reflect fikra halisi za watu wengi katika jamii yetu.
Usijali chairman wako "Chama Cha Wembamba" nafurahi kusikia hivo.Kunenepa au kukonda huamui wewe me naona NI suala liko nje ya uwezo wetu kwa mfano me nataka nijae kidogo Ka mwili kaongezeke ila ndo siwezi najitahid kula na bia ila wapi
RC wa zamaniChid benz ni Nani huyo
Subiri kidogo... hivi unasema kisukari ni afadhali kuliko uraibu wa madawa ya kulevya?Mimi ni mtu wa mazoezi toka nakua mpaka leo tunaenda kuzeeka hata nikifika Nchi ambayo ni mgeni kitu cha kwanza natafuta sehemu ya kufanya mazoezi najua umuhimu wa kutunza mwili nachosema huyo jamaa kwa jinsi alivyopoteza mwili kutokana na sumu kwa sasa hivi anaonekana ni mtu kwa sababu madhara ya sumu ni makubwa kuliko hata hayo magonjwa unayoyazungumzia.