Hivi Cocacola Kwanza na Bonite Bottlers wameingia ubia, au Cocacola Kwanza ni moja ya kampuni ya IPP?

Maji ya Kilimanjaro ni ya Kampuni ya Mengi yeye kama yeye na sio brand ya Coca Cola

Nahisi mengi aliyauza maji ya kilimanjaro kwa cocacola, because ukiangalia kwenye maji ya Kilimanjaro, imeandikwa "a product of a cocacola company" LadyRed
 
Nahisi mengi aliyauza maji ya kilimanjaro kwa cocacola, because ukiangalia kwenye maji ya Kilimanjaro, imeandikwa "a product of a cocacola company" LadyRed
Navyojua Kilimanjaro water bado yako chini ya Mengi/Bonite peke yake.....
sidhani kama kuna franchisee mwingine wa Cocacola anatengeneza maji ya Kilimanjaro...
Maybe amesajili the Trademark ,i dont know ukweli halisi for sure.,

maji ya Coca cola globally ,official ni Dasani(still and sparkling options)....
 
Duuh ubongo wa yule mzee ulikua wa pekee sana hapa nchini.......wachaga noma
 
Maji ya Kilimanjaro ni ya Kampuni ya Mengi yeye kama yeye na sio brand ya Coca Cola

Shukran, ila kwenye sponsorship za Coca cola kama world cup maji yanayotumika ni Kilimanjaro sio Dasani ndio maana nikauliza hiyo kitu.
 
Shukran, ila kwenye sponsorship za Coca cola kama world cup maji yanayotumika ni Kilimanjaro sio Dasani ndio maana nikauliza hiyo kitu.
Mhh hapo sijajua kwa kweli. Maybe wana agreement maalumu.,
Wajuzi zaidi watasema
 
Maji ya Kilimanjaro pia yako chini ya coca cola, je nayo yanatengenezwa Nyanza na coca cola Kwanza?
Hapa kuna exeption kidogo, nadhan kuna parcent ya coca na bonite lakini izalishe bonite tu, ila kwenye chupa imeandikwa ni mali ya coca, nahisi ni sawa na novida nk,

Kabla ya mengi kuanziasha bonite kilimanjaro inasambazwa na cocacoka kwanza...

Pia nadhan hvi viwanda vinaruhusiwa kubuni bidhaa zao binafsi lakin under control ya coca, mfano cocacola kwanza wanazalisha maji yanaitwa VIVA

Sent from my TECNO KD6 using JamiiForums mobile app
 
Chupa ya kilimanjaro imeandikwa property of cacacola company, why??

Sent from my TECNO KD6 using JamiiForums mobile app
 
KUHUSU UBIA CJUI ILA COCACOLA NI KAMPUNI YA VINJWAJI SIO USAFIRISHAJI IN A COST EFFECTIVE CONSUMPTION APPROACH SIO LAZIMA KUWA NA MAGAR MENGI KUFANY USAFIRISHAJI ANGALIA KINACHOTOKEA MSD SAIVI.
 
Watu was kusini hawanywi soda nn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…