Hivi Cocacola Kwanza na Bonite Bottlers wameingia ubia, au Cocacola Kwanza ni moja ya kampuni ya IPP?

Hivi Cocacola Kwanza na Bonite Bottlers wameingia ubia, au Cocacola Kwanza ni moja ya kampuni ya IPP?

Maji ya Kilimanjaro ni ya Kampuni ya Mengi yeye kama yeye na sio brand ya Coca Cola

Nahisi mengi aliyauza maji ya kilimanjaro kwa cocacola, because ukiangalia kwenye maji ya Kilimanjaro, imeandikwa "a product of a cocacola company" LadyRed
 
Nahisi mengi aliyauza maji ya kilimanjaro kwa cocacola, because ukiangalia kwenye maji ya Kilimanjaro, imeandikwa "a product of a cocacola company" LadyRed
Navyojua Kilimanjaro water bado yako chini ya Mengi/Bonite peke yake.....
sidhani kama kuna franchisee mwingine wa Cocacola anatengeneza maji ya Kilimanjaro...
Maybe amesajili the Trademark ,i dont know ukweli halisi for sure.,

maji ya Coca cola globally ,official ni Dasani(still and sparkling options)....
 
Duuh ubongo wa yule mzee ulikua wa pekee sana hapa nchini.......wachaga noma
 
Maji ya Kilimanjaro ni ya Kampuni ya Mengi yeye kama yeye na sio brand ya Coca Cola

Shukran, ila kwenye sponsorship za Coca cola kama world cup maji yanayotumika ni Kilimanjaro sio Dasani ndio maana nikauliza hiyo kitu.
 
Shukran, ila kwenye sponsorship za Coca cola kama world cup maji yanayotumika ni Kilimanjaro sio Dasani ndio maana nikauliza hiyo kitu.
Mhh hapo sijajua kwa kweli. Maybe wana agreement maalumu.,
Wajuzi zaidi watasema
 
Maji ya Kilimanjaro pia yako chini ya coca cola, je nayo yanatengenezwa Nyanza na coca cola Kwanza?
Hapa kuna exeption kidogo, nadhan kuna parcent ya coca na bonite lakini izalishe bonite tu, ila kwenye chupa imeandikwa ni mali ya coca, nahisi ni sawa na novida nk,

Kabla ya mengi kuanziasha bonite kilimanjaro inasambazwa na cocacoka kwanza...

Pia nadhan hvi viwanda vinaruhusiwa kubuni bidhaa zao binafsi lakin under control ya coca, mfano cocacola kwanza wanazalisha maji yanaitwa VIVA

Sent from my TECNO KD6 using JamiiForums mobile app
 
Hicho sikijui kuhusu mikataba ninachokijua mengi ni mmiliki asilimia 100 wa maji ya kilimanjaro chini ya kampuni yake ya bonite bottlers kama alivyo state kwny kitabu chake ambacho hukielewi chief ni kwamba bonite bottlers inafanya bottling ya vinywaji vya coca cola ukanda wa kaskazini na pia vinywaji vyake binafsi kama kilimanjaro. Mengi kufungua bonite bottlers amestate alikuwa anataka full ownership ndo maana aliopt coca cola badala ya fahari bottlers( pepsi) aliokuwa wakwanza kuongea nao kuhusu makubaliano
Chupa ya kilimanjaro imeandikwa property of cacacola company, why??

Sent from my TECNO KD6 using JamiiForums mobile app
 
Kwasababu leo nimeona magari ya Bonite yanasambaza juisi za minute maid, zilizotengenezwa kiwanda cha Cocacola kwanza kilichopo Dar, INA maana Cocacola Kwanza wanashindwa hata kununua magari madogo ya kusafirishia juisi zao huku moshi mjini?

Nahisi hizi kampuni mbili (Bonite na Cocacola Kwanza) zimeingia ubia, au labda Reginald Mengi ni shareholder mkubwa wa kampuni ya Cocacola Kwanza, sasa sijui kipi ni kipi

Mwenye taarifa sahihi, tujuzane, majungu na kejeli sitaki
KUHUSU UBIA CJUI ILA COCACOLA NI KAMPUNI YA VINJWAJI SIO USAFIRISHAJI IN A COST EFFECTIVE CONSUMPTION APPROACH SIO LAZIMA KUWA NA MAGAR MENGI KUFANY USAFIRISHAJI ANGALIA KINACHOTOKEA MSD SAIVI.
 
Coca Cola Company is a global brand inayotoa franchise ownership

hapa Tanzania wako franchisees watatu
1.Cocacola kwanza Ltd Dar inayomilikiwa na Cocacola Beverages Africa,Kampuni iliyoungana SabMiller na CocaSabco...hii wamiliki wake ni wazungu pure Mengi alishawauzia ama kama wana'lease mi sijui

2.Bonite Bottlers Moshi inayomilikiwa na IPP/Reginald Mengi

3.Nyanza Bottlers Ltd

so hawa watatu wamegawana maeneno ya ku'supply products zao.,products ni hizo hizo Cocacola Global inacontrol marketing,ubora nk

maeneno ya kusupply
1.Cocacola kwanza iko kanda ya pwani pamoja na zanzibar,kanda ya kati hadi dodoma na kusini huko Mbeya wana Kiwanda

2.Bonite wanasupply kanda ya Kaskazini

3.Nyanza Bottlers anasupply Kanda ya Ziwa na Magharibi

kuna swali lingine?.
Watu was kusini hawanywi soda nn
 
Back
Top Bottom