dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 23,901
- 58,103
π π π π π πHapa usipotuliza kichwa unatoka patupu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
π π π π π πHapa usipotuliza kichwa unatoka patupu.
Navyojua Kilimanjaro water bado yako chini ya Mengi/Bonite peke yake.....Nahisi mengi aliyauza maji ya kilimanjaro kwa cocacola, because ukiangalia kwenye maji ya Kilimanjaro, imeandikwa "a product of a cocacola company" LadyRed
Nilipotembelea Abuja Nigeria pia niliyaonaSio kweli dasani water ni brand ya cocacola worldwide ukienda kwenye kila nchi utayakutsSoma attachment hapa chiniView attachment 1569646
Maji ya Kilimanjaro ni ya Kampuni ya Mengi yeye kama yeye na sio brand ya Coca Cola
Hujanielewa mkuu, ni kwamba makampuni mengi yanapiga pesa kwa real estate iliyojificha nyuma ya franchising, kaangalie McDonald wanavopiga pesa.Hapana chief franchising ni mfumo wa biashar unaweza kufanyika kwa biashara yoyote ile si real estate tu View attachment 1569761
Mhh hapo sijajua kwa kweli. Maybe wana agreement maalumu.,Shukran, ila kwenye sponsorship za Coca cola kama world cup maji yanayotumika ni Kilimanjaro sio Dasani ndio maana nikauliza hiyo kitu.
Hapa kuna exeption kidogo, nadhan kuna parcent ya coca na bonite lakini izalishe bonite tu, ila kwenye chupa imeandikwa ni mali ya coca, nahisi ni sawa na novida nk,Maji ya Kilimanjaro pia yako chini ya coca cola, je nayo yanatengenezwa Nyanza na coca cola Kwanza?
Chupa ya kilimanjaro imeandikwa property of cacacola company, why??Hicho sikijui kuhusu mikataba ninachokijua mengi ni mmiliki asilimia 100 wa maji ya kilimanjaro chini ya kampuni yake ya bonite bottlers kama alivyo state kwny kitabu chake ambacho hukielewi chief ni kwamba bonite bottlers inafanya bottling ya vinywaji vya coca cola ukanda wa kaskazini na pia vinywaji vyake binafsi kama kilimanjaro. Mengi kufungua bonite bottlers amestate alikuwa anataka full ownership ndo maana aliopt coca cola badala ya fahari bottlers( pepsi) aliokuwa wakwanza kuongea nao kuhusu makubaliano
KUHUSU UBIA CJUI ILA COCACOLA NI KAMPUNI YA VINJWAJI SIO USAFIRISHAJI IN A COST EFFECTIVE CONSUMPTION APPROACH SIO LAZIMA KUWA NA MAGAR MENGI KUFANY USAFIRISHAJI ANGALIA KINACHOTOKEA MSD SAIVI.Kwasababu leo nimeona magari ya Bonite yanasambaza juisi za minute maid, zilizotengenezwa kiwanda cha Cocacola kwanza kilichopo Dar, INA maana Cocacola Kwanza wanashindwa hata kununua magari madogo ya kusafirishia juisi zao huku moshi mjini?
Nahisi hizi kampuni mbili (Bonite na Cocacola Kwanza) zimeingia ubia, au labda Reginald Mengi ni shareholder mkubwa wa kampuni ya Cocacola Kwanza, sasa sijui kipi ni kipi
Mwenye taarifa sahihi, tujuzane, majungu na kejeli sitaki
Watu was kusini hawanywi soda nnCoca Cola Company is a global brand inayotoa franchise ownership
hapa Tanzania wako franchisees watatu
1.Cocacola kwanza Ltd Dar inayomilikiwa na Cocacola Beverages Africa,Kampuni iliyoungana SabMiller na CocaSabco...hii wamiliki wake ni wazungu pure Mengi alishawauzia ama kama wana'lease mi sijui
2.Bonite Bottlers Moshi inayomilikiwa na IPP/Reginald Mengi
3.Nyanza Bottlers Ltd
so hawa watatu wamegawana maeneno ya ku'supply products zao.,products ni hizo hizo Cocacola Global inacontrol marketing,ubora nk
maeneno ya kusupply
1.Cocacola kwanza iko kanda ya pwani pamoja na zanzibar,kanda ya kati hadi dodoma na kusini huko Mbeya wana Kiwanda
2.Bonite wanasupply kanda ya Kaskazini
3.Nyanza Bottlers anasupply Kanda ya Ziwa na Magharibi
kuna swali lingine?.
Dasani inatengenezwa na Nyanza Bottlers pia, Nyanza Bottlers ndio kiwanda kikubwa cha Cocacola product kwa kanda ya ziwa.Dasani water sio products ya coca cola, bali ni product ya coca cola kwanza!!