Hivi Corona bado ipo?

ndio mark 2 ipo,,,ila inaitwa weak corona!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Kuna mtu ameandika humu yu wapi mmoja wa viongozi? Akaendelea na kusema isijekuwa kama March 2021. Ukiunganisha nukta utahisi kuna jambo, majuzi kuna uzi ulizungumzia kesi ya askari waliomuua mfanyabiashara wa madini Mtwara, pichani walikuwa masked
Unataka kusema inatengenezwa scene ya korona ili kufanikisha mipango fulani?
 
Wagonjwa mnaendeleaje?[emoji23]
Mimi najisikia baridi vipele vya baridi vimenitoka huku mwili wa moto
.. kivumbi kinaendelea


Mwenyezi Mungu awaponye wagonjwa wote.
 
Wagonjwa mnaendeleaje?[emoji23]
Mimi najisikia baridi vipele vya baridi vimenitoka huku mwili wa moto
.. kivumbi kinaendelea


Mwenyezi Mungu awaponye wagonjwa wote.
Pole sana, tafuta nyungu haraka sana. Azuma umetumia?
 
Pole sana, tafuta nyungu haraka sana. Azuma umetumia?
Asante dear

Nimetumia.
Haraka sana nilianza kumeza azithromycin

Pia natumia maji ya limao ,tangawizi,swaunu,limao na chumvi kwa mbali.

Kujifukiza Yale majani sijui hata nayatoa wapi mjini huku.


Hali ya hewa imekuja ma mafua makali na kijihoma kwa mbali.
 
Kichwa inaniuma mbaya sana tangu jmosi, mafua ni kali inatoa maji sio kamasi,nakohoa pia.
nimeanda kupima apo agakhan ati niko sawa na wamenipatia tudawa twa mafua na twakifua. ila mafua imekaza hatari hadi sioni

huenda korona stage5
THE PROPAGANDIST HIMSELF 🤣🤣

Mtaacha lini kuhadaa watu nyie MAKASUKU!?

Wewe una MAGONOREA umeyaokota kwenye madanguro, KAPIME.

Usisingizie magonjwa yasiyokuwapo 🤣🤣🙌
 
Mnapata mafua na mogonjwa mengine yaliyozoeleka mnaanza kusingizia Corona ambayo hata uwepo wake unatatiza kama kweli ilishawai kuwepo au propaganda za matajiri wa kupiga hela kupitia Afya za watu.

Na kuna nchi au basi niishie hapa.
Hii ndio faida ya uwepo wa MAZOMBI katika taifa.

Hapa tutapigwa na kitu kizito. CHANJO MWANAWANE.

PROPAGANDA, PESAA na MAOKOTO.
 
THE PROPAGANDIST ON THE BEAT

Kwa kweli hata ungekufa ingekuwa vizuri.

You are a VIRUS that needs to be GUNNED DOWN.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…