Jephta2003
JF-Expert Member
- Feb 27, 2008
- 6,590
- 6,355
Utapeli wakati watu sana walikufa?Urusi fundi sana, alikuja kutuonyesha kuwa corona ni utapeli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utapeli wakati watu sana walikufa?Urusi fundi sana, alikuja kutuonyesha kuwa corona ni utapeli
Baada ya vita vya Urusi na Ukraine uliwahi kusikia khs corona.?Utapeli wakati watu sana walikufa?
Baada ya vita vya Urusi na Ukraine uliwahi kusikia khs corona.?Utapeli kivipi na tuliuguza wazee wetu wakaponea ICU. Labda useme ilitengenezwa maabara ila corona ilikuwepo na iliua.
ndio mark 2 ipo,,,ila inaitwa weak corona!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!Wakuu siku za karibuni hali yangu sio nzuri kiviile... Kwanza nilianza kuumwa sana na koo nikawa nikimeza mate napata maumivu makali.
Juzi juzi nikaanza kikohozi kikavu kinachoambatana na maumivu ambacho kinaendelea mpaka sasa. Jana kichwa kimeanza kuniuma na homa japo sio kali sana, na leo naona mafua yameanza.
Sauti nayo ni kama inapotea. Hizi dalili nakumbuka nilizipataga 2020 au 2021 hivi hasa hii ya kuumwa koo.
NB: Kwa sasa natumia tangawizi, malimao na paracetamol na dawa ya kikohozi syrup. Unanishauri nini?
Unataka kusema inatengenezwa scene ya korona ili kufanikisha mipango fulani?Kuna mtu ameandika humu yu wapi mmoja wa viongozi? Akaendelea na kusema isijekuwa kama March 2021. Ukiunganisha nukta utahisi kuna jambo, majuzi kuna uzi ulizungumzia kesi ya askari waliomuua mfanyabiashara wa madini Mtwara, pichani walikuwa masked
Not sureUnataka kusema inatengenezwa scene ya korona ili kufanikisha mipango fulani?
Ila Tz ni fundi zaidi tuliambiwa na JemedariUrusi fundi sana, alikuja kutuonyesha kuwa corona ni utapeli
Mimi nilichanjwa mbona na niko fiti.Wazungu walichanjwa mbona hatuoni hayo madhara mliotutishia humu.
Pole sana, tafuta nyungu haraka sana. Azuma umetumia?Wagonjwa mnaendeleaje?[emoji23]
Mimi najisikia baridi vipele vya baridi vimenitoka huku mwili wa moto
.. kivumbi kinaendelea
Mwenyezi Mungu awaponye wagonjwa wote.
Asante dearPole sana, tafuta nyungu haraka sana. Azuma umetumia?
Hahaha mbona DOKTA!Dokta akasema kwa sasa wacha tu a iite "Seasonal Influenza".
URONGOHata apa kwangu ni wote tuna mafua na vikohozi japo vinatofautiana viwango. Hivi navyoongea leo tumempeleka mtoto hospitali kakutwa na nimonia alikua anakohoa balaa
THE PROPAGANDIST HIMSELF 🤣🤣Kichwa inaniuma mbaya sana tangu jmosi, mafua ni kali inatoa maji sio kamasi,nakohoa pia.
nimeanda kupima apo agakhan ati niko sawa na wamenipatia tudawa twa mafua na twakifua. ila mafua imekaza hatari hadi sioni
huenda korona stage5
Hata ukitaka KUNYA utasubiri tangazo la serikali??Sa mbona hatuambiwi tuji mask kama hali ndio hiyo..?
Hii ndio faida ya uwepo wa MAZOMBI katika taifa.Mnapata mafua na mogonjwa mengine yaliyozoeleka mnaanza kusingizia Corona ambayo hata uwepo wake unatatiza kama kweli ilishawai kuwepo au propaganda za matajiri wa kupiga hela kupitia Afya za watu.
Na kuna nchi au basi niishie hapa.
THE PROPAGANDIST ON THE BEATsure,
day one kifua ilinibana kama nimevaa bulletproof ilonibana hadi moyo unauma ofisini niliwork for only 2hrs, nikaenda nyumbani sio hospital tena coz one week before nilienda for checkup na sikua na tatazo lolote.
Kichwa ilipozidi na mafua huku kifua ikapoa nikaanza kukohoa sasa na homa ikalipuka mara baridi mara joto, uzalendo ukanishinda nikajongea hospital, wakanipima wakaniambia hakuna kitu inashida...
wakanipa dawa ya maji ya kifua, ya mafua na ya maumivu,