Hivi Corona bado ipo?

Hata apa kwangu ni wote tuna mafua na vikohozi japo vinatofautiana viwango. Hivi navyoongea leo tumempeleka mtoto hospitali kakutwa na nimonia alikua anakohoa balaa
Korona ipo dunia nzima ila sasa hivi siyo kali kama mwanzo. Virus wake wame-mutate na kupoteza ule ukali. Ila pia kuna kitu kinaitwa Influenza. Unajua sisi waswahili hatutofautishi kati ya mafua (colds) na influenza. Ukiona umepata ''mafua'' makali sana sana basi ujue ni seasonal influenza. Na pia ziko za aina tofauti...
 
Kichwa inaniuma mbaya sana tangu jmosi, mafua ni kali inatoa maji sio kamasi,nakohoa pia.
nimeanda kupima apo agakhan ati niko sawa na wamenipatia tudawa twa mafua na twakifua. ila mafua imekaza hatari hadi sioni

huenda korona stage5
Kuna flu kali sana inazunguka sasa hivi. Ulaya hiki ni kipindi cha mafua na flu na wasafiri wengi wanaokuja Afrika wanasambaza. Pia korona nayo ipo japo haina ukali kama mwanzoni.
 
Kuna flu kali sana inazunguka sasa hivi. Ulaya hiki ni kipindi cha mafua na flu na wasafiri wengi wanaokuja Afrika wanasambaza. Pia korona nayo ipo japo haina ukali kama mwanzoni.
Shukrani sana kwa angalizo hilo mkuu, yafaa kujihadhari sana maana
 
Mkuu huyu mdudu corona bado yupo na anaishi kwenye jamii yetu, kama una mazoea ya kulala na machangu achana nayo kabisa kwani akikupumulia tu kama ana corona anakuambukiza na wewe. Juzi tu hapa jamaa yangu alikuwa anawashwa mapumbu na kusikia moto mkali sehemu za siri, alipoamka asubuhi ule moto ulihamia kohoni, kwenda kupima akakutwa na corona. Ananiambia anahisi aliambukizwa na changu aliyemuokota Telegram juzi yake maana alikuwa anapiga chafya sana na kumkoholea jamaa wakati akisukuma mashine kitandani.
 
Maskini...Pole sn kipenzi. Mungu Akujaalie shifaa ya haraka
 
Infection kwenye damu? Au ulienda Boch pale mbezi? Maana ukienda hapo lazima wakwambie kuwa una hilo tatizo, maana pale huo ugonjwa ni kama reception yao
Nimeenda Ampola, mie nipo zanzibar. Ila na wao wanazo hizo habari za infection kwenye damu...nilimuuliza huyu doctor mara hii damu inakuwa infected vp, akanijb hio hio shida ya virus wanoshqmbulia respiratory system ndio wanaingia hadi kwenye damu πŸ™„
 
Maskini...Pole sn kipenzi. Mungu Akujaalie shifaa ya haraka

Mungu ni mwema, naendelea na dawa.
Mafua yamekata.

Nililala nikawa naona viungo vinauma zaidi.
Ikabidi niamke nifanye zoezi .. naona nipo fit.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…