Hivi Corona bado ipo?

Hivi Corona bado ipo?

Hata apa kwangu ni wote tuna mafua na vikohozi japo vinatofautiana viwango. Hivi navyoongea leo tumempeleka mtoto hospitali kakutwa na nimonia alikua anakohoa balaa
Korona ipo dunia nzima ila sasa hivi siyo kali kama mwanzo. Virus wake wame-mutate na kupoteza ule ukali. Ila pia kuna kitu kinaitwa Influenza. Unajua sisi waswahili hatutofautishi kati ya mafua (colds) na influenza. Ukiona umepata ''mafua'' makali sana sana basi ujue ni seasonal influenza. Na pia ziko za aina tofauti...
 
Kichwa inaniuma mbaya sana tangu jmosi, mafua ni kali inatoa maji sio kamasi,nakohoa pia.
nimeanda kupima apo agakhan ati niko sawa na wamenipatia tudawa twa mafua na twakifua. ila mafua imekaza hatari hadi sioni

huenda korona stage5
Kuna flu kali sana inazunguka sasa hivi. Ulaya hiki ni kipindi cha mafua na flu na wasafiri wengi wanaokuja Afrika wanasambaza. Pia korona nayo ipo japo haina ukali kama mwanzoni.
 
Kuna flu kali sana inazunguka sasa hivi. Ulaya hiki ni kipindi cha mafua na flu na wasafiri wengi wanaokuja Afrika wanasambaza. Pia korona nayo ipo japo haina ukali kama mwanzoni.
Shukrani sana kwa angalizo hilo mkuu, yafaa kujihadhari sana maana
 
Wakuu siku za karibuni hali yangu sio nzuri kiviile... Kwanza nilianza kuumwa sana na koo nikawa nikimeza mate napata maumivu makali.

Juzi juzi nikaanza kikohozi kikavu kinachoambatana na maumivu ambacho kinaendelea mpaka sasa. Jana kichwa kimeanza kuniuma na homa japo sio kali sana, na leo naona mafua yameanza.

Sauti nayo ni kama inapotea. Hizi dalili nakumbuka nilizipataga 2020 au 2021 hivi hasa hii ya kuumwa koo.

NB: Kwa sasa natumia tangawizi, malimao na paracetamol na dawa ya kikohozi syrup. Unanishauri nini?
Mkuu huyu mdudu corona bado yupo na anaishi kwenye jamii yetu, kama una mazoea ya kulala na machangu achana nayo kabisa kwani akikupumulia tu kama ana corona anakuambukiza na wewe. Juzi tu hapa jamaa yangu alikuwa anawashwa mapumbu na kusikia moto mkali sehemu za siri, alipoamka asubuhi ule moto ulihamia kohoni, kwenda kupima akakutwa na corona. Ananiambia anahisi aliambukizwa na changu aliyemuokota Telegram juzi yake maana alikuwa anapiga chafya sana na kumkoholea jamaa wakati akisukuma mashine kitandani.
 
Asante dear

Nimetumia.
Haraka sana nilianza kumeza azithromycin

Pia natumia maji ya limao ,tangawizi,swaunu,limao na chumvi kwa mbali.

Kujifukiza Yale majani sijui hata nayatoa wapi mjini huku.


Hali ya hewa imekuja ma mafua makali na kijihoma kwa mbali.
Maskini...Pole sn kipenzi. Mungu Akujaalie shifaa ya haraka
 
Infection kwenye damu? Au ulienda Boch pale mbezi? Maana ukienda hapo lazima wakwambie kuwa una hilo tatizo, maana pale huo ugonjwa ni kama reception yao
Nimeenda Ampola, mie nipo zanzibar. Ila na wao wanazo hizo habari za infection kwenye damu...nilimuuliza huyu doctor mara hii damu inakuwa infected vp, akanijb hio hio shida ya virus wanoshqmbulia respiratory system ndio wanaingia hadi kwenye damu 🙄
 
Maskini...Pole sn kipenzi. Mungu Akujaalie shifaa ya haraka

Mungu ni mwema, naendelea na dawa.
Mafua yamekata.

Nililala nikawa naona viungo vinauma zaidi.
Ikabidi niamke nifanye zoezi .. naona nipo fit.
 
Mzgo nazn upoo
Screenshot_2023-11-28-21-28-28-703_com.whatsapp.jpg
 
Back
Top Bottom