BICHWA KOMWE -
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 6,373
- 16,073
Ndio. Huwa wananiita mama.Nimekuuliza kuna watu wanakuita mama au hakuna? Naomba jibu maana mimi swali lako nimejibu
Ulibong'oa au ulishika meza?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio. Huwa wananiita mama.Nimekuuliza kuna watu wanakuita mama au hakuna? Naomba jibu maana mimi swali lako nimejibu
Korona ipo dunia nzima ila sasa hivi siyo kali kama mwanzo. Virus wake wame-mutate na kupoteza ule ukali. Ila pia kuna kitu kinaitwa Influenza. Unajua sisi waswahili hatutofautishi kati ya mafua (colds) na influenza. Ukiona umepata ''mafua'' makali sana sana basi ujue ni seasonal influenza. Na pia ziko za aina tofauti...Hata apa kwangu ni wote tuna mafua na vikohozi japo vinatofautiana viwango. Hivi navyoongea leo tumempeleka mtoto hospitali kakutwa na nimonia alikua anakohoa balaa
Kama wanakuita mama basi makosa siyo yako. Nakushauri uwe mama bora achana na ujinga mpaka kila mtu anakuona hamnazo. Utawapa shida watoto wakoNdio. Huwa wananiita mama.
Ulibong'oa au ulishika meza?
Kuna flu kali sana inazunguka sasa hivi. Ulaya hiki ni kipindi cha mafua na flu na wasafiri wengi wanaokuja Afrika wanasambaza. Pia korona nayo ipo japo haina ukali kama mwanzoni.Kichwa inaniuma mbaya sana tangu jmosi, mafua ni kali inatoa maji sio kamasi,nakohoa pia.
nimeanda kupima apo agakhan ati niko sawa na wamenipatia tudawa twa mafua na twakifua. ila mafua imekaza hatari hadi sioni
huenda korona stage5
Shukrani sana kwa angalizo hilo mkuu, yafaa kujihadhari sana maanaKuna flu kali sana inazunguka sasa hivi. Ulaya hiki ni kipindi cha mafua na flu na wasafiri wengi wanaokuja Afrika wanasambaza. Pia korona nayo ipo japo haina ukali kama mwanzoni.
Mkuu huyu mdudu corona bado yupo na anaishi kwenye jamii yetu, kama una mazoea ya kulala na machangu achana nayo kabisa kwani akikupumulia tu kama ana corona anakuambukiza na wewe. Juzi tu hapa jamaa yangu alikuwa anawashwa mapumbu na kusikia moto mkali sehemu za siri, alipoamka asubuhi ule moto ulihamia kohoni, kwenda kupima akakutwa na corona. Ananiambia anahisi aliambukizwa na changu aliyemuokota Telegram juzi yake maana alikuwa anapiga chafya sana na kumkoholea jamaa wakati akisukuma mashine kitandani.Wakuu siku za karibuni hali yangu sio nzuri kiviile... Kwanza nilianza kuumwa sana na koo nikawa nikimeza mate napata maumivu makali.
Juzi juzi nikaanza kikohozi kikavu kinachoambatana na maumivu ambacho kinaendelea mpaka sasa. Jana kichwa kimeanza kuniuma na homa japo sio kali sana, na leo naona mafua yameanza.
Sauti nayo ni kama inapotea. Hizi dalili nakumbuka nilizipataga 2020 au 2021 hivi hasa hii ya kuumwa koo.
NB: Kwa sasa natumia tangawizi, malimao na paracetamol na dawa ya kikohozi syrup. Unanishauri nini?
Sawa.Kama wanakuita mama basi makosa siyo yako. Nakushauri uwe mama bora achana na ujinga mpaka kila mtu anakuona hamnazo. Utawapa shida watoto wako
Maskini...Pole sn kipenzi. Mungu Akujaalie shifaa ya harakaAsante dear
Nimetumia.
Haraka sana nilianza kumeza azithromycin
Pia natumia maji ya limao ,tangawizi,swaunu,limao na chumvi kwa mbali.
Kujifukiza Yale majani sijui hata nayatoa wapi mjini huku.
Hali ya hewa imekuja ma mafua makali na kijihoma kwa mbali.
Nimeenda Ampola, mie nipo zanzibar. Ila na wao wanazo hizo habari za infection kwenye damu...nilimuuliza huyu doctor mara hii damu inakuwa infected vp, akanijb hio hio shida ya virus wanoshqmbulia respiratory system ndio wanaingia hadi kwenye damu 🙄Infection kwenye damu? Au ulienda Boch pale mbezi? Maana ukienda hapo lazima wakwambie kuwa una hilo tatizo, maana pale huo ugonjwa ni kama reception yao
Maskini...Pole sn kipenzi. Mungu Akujaalie shifaa ya haraka
😂😂😂😂Infection kwenye damu? Au ulienda Boch pale mbezi? Maana ukienda hapo lazima wakwambie kuwa una hilo tatizo, maana pale huo ugonjwa ni kama reception yao
,Urusi fundi sana, alikuja kutuonyesha kuwa corona ni utapeli