Blood of Jesus
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 4,486
- 8,098
ni mabadiliko ya hali ya hewa tu, sio zaidi ya hapo.
JESUS SAVES
JESUS SAVES
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sawasawahuenda korona stage5
Ipo mkuu ni kila mwaka sasa,km una changamoto za kiafya wahi pale dunga chanjo tulia.
mkuu yupo anachapa kazi zake vizuri tu na ana afya njemaNapata jibu yuko wapi Makamu? hasa waliopata chanjo wanatakiwa kutunzwa sana.
Pole aiseHili wimbi la fluu na uchovu na mimi limenipitia
Nadhani nimelizoa hospital nikoshinda[emoji1787]
Picha limeanza wakati narudi home kichwa kinagonga
Viungo vikaanza kuuma
Nimefika home mwili joto pima temperature ipo above normal..na ninatetemeka sana hadi vipele vya baridi vinatoka.
Nimeenda kuoga alnanusura nizimie...
Ssa mafia ndo yaleeee na koo kavu.
Mungu atuvushe salama wote tunaojisikia hovyo
Na wale watakaougua.
Cha muhimu maji ya limao na tangawizi,saumu kwa mbali iwe ratiba yetu..labda mtu kama ana complications.
Msipanic
Mwili utakaa sawa
Ukijisikiw vibaya sana muone daktari.
Utapeli kivipi na tuliuguza wazee wetu wakaponea ICU. Labda useme ilitengenezwa maabara ila corona ilikuwepo na iliua.Urusi fundi sana, alikuja kutuonyesha kuwa corona ni utapeli
Wazungu walichanjwa mbona hatuoni hayo madhara mliotutishia humu.Napata jibu yuko wapi Makamu? hasa waliopata chanjo wanatakiwa kutunzwa sana.
sure,Pole mkuu..
Hizi dalili hizii zinanipa mawazo sana usikute ni mzee mzima 19
Shujaa wa Afrika sio huyu Pierre Liquod chapombeShujaa Piere liquid aliyelazwa amana kwa corona, au umesahau?
.Walijuwaje kama ana corona bila kumpima?
Baba Paroko kafanyaje Tena?Napata jibu yuko wapi Makamu? hasa waliopata chanjo wanatakiwa kutunzwa sana.
Eti shujaa. Usinchekeshe mieKipindi cha shujaa tulitangazia imeisha baada ya kuletwa dawa kutoka Madagascar
Hahaha..Napata jibu yuko wapi Makamu? hasa waliopata chanjo wanatakiwa kutunzwa sana.
Mie week ilopita tu niliumwa the same plus homa kali sana, nilipoenda hospital wakaniambia nna infection ya kwenye damu...na kunipa midawa kibao...Wakuu siku za karibuni hali yangu sio nzuri kiviile... Kwanza nilianza kuumwa sana na koo nikawa nikimeza mate napata maumivu makali.
Juzi juzi nikaanza kikohozi kikavu kinachoambatana na maumivu ambacho kinaendelea mpaka sasa. Jana kichwa kimeanza kuniuma na homa japo sio kali sana, na leo naona mafua yameanza.
Sauti nayo ni kama inapotea. Hizi dalili nakumbuka nilizipataga 2020 au 2021 hivi hasa hii ya kuumwa koo.
NB: Kwa sasa natumia tangawizi, malimao na paracetamol na dawa ya kikohozi syrup. Unanishauri nini?
Kwahiyo yule namba...alichanja Kwa maigizo,sio!!Napata jibu yuko wapi Makamu? hasa waliopata chanjo wanatakiwa kutunzwa sana.
pole sana mkuu...hizo dawa za hospital utamaliza zote mkuu vyema kuchanganya na za mitishamba. hata kama hio tangawizi, malimao, asali, manjano na kujifukiza nyungu japo ya siku tatusure,
day one kifua ilinibana kama nimevaa bulletproof ilonibana hadi moyo unauma ofisini niliwork for only 2hrs, nikaenda nyumbani sio hospital tena coz one week before nilienda for checkup na sikua na tatazo lolote.
Kichwa ilipozidi na mafua huku kifua ikapoa nikaanza kukohoa sasa na homa ikalipuka mara baridi mara joto, uzalendo ukanishinda nikajongea hospital, wakanipima wakaniambia hakuna kitu inashida...
wakanipa dawa ya maji ya kifua, ya mafua na ya maumivu,