Hivi Couple za humu JF ziliishia wapi?

Hivi Couple za humu JF ziliishia wapi?

Hapo kuna mawili

Ukiona kapo ziko motomoto sana humu jeiefu, ujue hao watu hawajakutana laivu bado. Siku wakikutana na kukuta hawafanani kabisa na zile profaili pikcha wanazoweka humu mfano unakuta mdada kaweka picha ya beyonce kumbe yeye yupo kama whoopi goldberg, au mkaka kaweka picha ya will smith wakati ni kijeba kifupi, kina upara na sura kama mhogo mchungu, mahusiano huwa yanakatika ghafla na hautawasikia tena!!

Au wameshakutana na wamekulana, na kawaida watu wakishakulana ule msisimko kunakua hamna tena hapo kila mtu anaanza kutafuta sababu ya kumuacha mwenzake, atakaewahi kuipata ndio mshindi.


Bila kumsahau mheshimiwa sana forex hahaaaaaaaaaaaa joke
 
Tulisema wataachana tu, dadadeeki awamu ya kishindo hii!
 
Mm huwa najiuliza hivi me na ke hawawez kuwa friends tu bila kufunuana wakuu?
Wapo ila binafsi hii imenishinda kabsa
yaani nikiwa na rafiki wa kike lazima tuishie kwenye kitanda
 
Back
Top Bottom