Hivi dawa za PEP zinapatikana kwenye pharmacy hapa Tz?

Sawa Tu

Member
Joined
Nov 7, 2022
Posts
38
Reaction score
131
Oya eeh jana mambo km vile hayakuenda vizuri. Nlikua nasafisha rungu kwa izi dada poa asee si nkashtuka ndomu imetoka na kubaki ndani ya k bila mi kujua, bizee naendelea na kazi.

Sasa nina wasiwasi ule mda ilivovuka nilikua na direct contact na fluid zake asee. Em nisaidieni kupata dawa za PEP ili nikae kwa amani angalau. Vipi pharmacy wanauza au ?
 
Kama utampata huyo dada poa na kwenda naye kufanya vipimo itakuwa vema zaidi, ila dawa hizo hazipatikani pharmacy lazima uende hospital km una rafiki yako ambaye ni health personnel ndo muda wa kumtafuta huu. Hakikisha haizidi saa 72 kabla hujaanza PEP
 
Pole sana huzipati pharmacy ila hospitali.uko wapi ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…