Hivi dawa za PEP zinapatikana kwenye pharmacy hapa Tz?

Hivi dawa za PEP zinapatikana kwenye pharmacy hapa Tz?

Pep zipo uingereza pale man city kwa guardiolla.KUWA MAKINI.
 
Usikose kuniachia sabufa ,maana ngoma ya sasa hivi sijui Kama utatoboa

"Na wengi mnateketea kwa kuendekeza umalaya by prof Jay"
 
Mnakwama wapi tafuta demu mmoja tulia nae huyo ......! Hizo dada poa mnazotafutaga mnatupiwa hadi majini shauri zenu
Naunga mkono japo kinachowakimbiza wanaume ni tabia za wadada kuwafanya wanaume ni ATM na hii ndio hufanya wapende hit and run kutoka kwa dada poa.
Ungeshauri waoe kabisa ila hiyo ya Kutulia na mmoja kwa kiafrika bado ni ndoto .....
 
Usiwachomee wenziooo oohoo..!! Wanauza kimagendo haoo
Hapana sio kimagendo wameruhusiwa na kibali kipo wanacho hakuna dawa Kwa Hilo duka linauzwa kimagendo wangesema. Ipo wazi kwakila mtu wanasemaga tu Moshi , Arusha wamepewa vibali kama ndio hamna wamebadilisha mfumo.
 
Mkuu mbona Nina mashaka na wewe katika maumbile yako, una kibamia au..? Ndomu haiwezi kuvulika kirahis hvyo wakati uume bado umesimama na unatwanga kwenye kinu labda case ya kupasuka.. Mm sio mtumiaji sana wa ndom Ila kwa nyakati nilizowahi kutumia ndo hii case ya kuvulika wakati unatwanga ni ngumu mno
Mkuu ukishakojoa, ndomu inatoka kirahis sana htkm ukiwa na mashine km punda
 
Naunga mkono japo kinachowakimbiza wanaume ni tabia za wadada kuwafanya wanaume ni ATM na hii ndio hufanya wapende hit and run kutoka kwa dada poa.
Ungeshauri waoe kabisa ila hiyo ya Kutulia na mmoja kwa kiafrika bado ni ndoto .....
Shida hata wakioa watachepuka nadhan ni hulka ya mtu tu
 
Back
Top Bottom