Sharamdala
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 3,558
- 6,538
Wasi wasi ndio akili, mwache atafute awe safe zaidi.Hujapata waya mzee jitulize.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wasi wasi ndio akili, mwache atafute awe safe zaidi.Hujapata waya mzee jitulize.
Mzee nimepata mhahoHujapata waya mzee jitulize.
Asante aseeNilidhani uko mbeya nikusaidie
si mnajifanya mashababi viboro dinda, mtameza tembe mpaka mkomeHahaha [emoji28][emoji23][emoji23] mwenyekiti
Halafu wana gharama kuliko bei ya PEP.wakutulie nyie mna gharama sana.
😀😀😀Halafu wana gharama kuliko bei ya PEP.
Dawa muhimu kama hizo inakuwaje zinauzwa kimagendoUsiwachomee wenziooo oohoo..!! Wanauza kimagendo haoo
Hizo dawa ziko chini ya vertical Programme huwa haziuzwiii ni buree kabisa so ni sawa na kuuza dawa za MSD famasi..Dawa muhimu kama hizo inakuwaje zinauzwa kimagendo
Jiangalie kwanza una michubukoOya eeh jana mambo km vile hayakuenda vizuri. Nlikua nasafisha rungu kwa izi dada poa asee si nkashtuka ndomu imetoka na kubaki ndani ya k bila mi kujua, bizee naendelea na kazi.
Sasa nina wasiwasi ule mda ilivovuka nilikua na direct contact na fluid zake asee. Em nisaidieni kupata dawa za PEP ili nikae kwa amani angalau. Vipi pharmacy wanauza au ?
Kila mtu atakufa hakuna atakayeishi mileleJITAHIDI KUANDKKA MAPEMS URITHI USITUTESE SIKU ZA MWISHO KWENYE MIRATHI.PLS
Ishu ni michubuko ndo kitu Cha kwanza Cha kuangaliaIngekua inapatikana kirahisi hvyo basi kila mtu angekua nayo
Kwa maelezo yako inaonyesha una kibamia na kibamia kusababisha michubuko ni ngumu hapo deal na UTI na Gono
KUFA SIO SHIDA USITESE UNAOWAACHAAKila mtu atakufa hakuna atakayeishi milele
Prof mwwnyeewe alikuwa mwingi kinoma atuache tu..."Starehe mnazipenda ila mwisho wake mbaya wengi wameteketea kwa kuendekeza umalay.a" - Prof Jizze