Hivi dawa za PEP zinapatikana kwenye pharmacy hapa Tz?

Mkuu mbona Nina mashaka na wewe katika maumbile yako, una kibamia au..? Ndomu haiwezi kuvulika kirahis hvyo wakati uume bado umesimama na unatwanga kwenye kinu labda case ya kupasuka.. Mm sio mtumiaji sana wa ndom Ila kwa nyakati nilizowahi kutumia ndo hii case ya kuvulika wakati unatwanga ni ngumu mno
 
Jiangalie kwanza una michubuko
 
Ingekua inapatikana kirahisi hvyo basi kila mtu angekua nayo

Kwa maelezo yako inaonyesha una kibamia na kibamia kusababisha michubuko ni ngumu hapo deal na UTI na Gono
 
YAANI KUNAHITAJIKA THREAD YA WALIOWAHI KUKUMBWA NA GONO AMA KISONONO WTUPE NA SOLN IKITOKEA ATUHITAJI KUJATENA HUKU MNAMALIZANA NA PHARMACY
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…