Hivi Deusdedith Soka ndio amezimwa kama alivyozimwa Ben Saanane?

Kakimbilia Kenya
Kenya siyo sehemu salama kukimbilia serekali hizi zina ushirikiano katika mambo ya kiusalama huwa wahalifu wanaofanya uhalifu nchi moja na kukimbia nchi hizi za EA wanakamatwa na kukabidhiana itakua hawajaamua tu kumkamata kwa njia za halali, ila bado hayuko salama
 
Deusdedith Soka amepotea kimzaha mzaha. Miaka ya nyuma alitoweka Ben Saanane kama utani mpaka leo hatujawahi kumuona tena.

Je ndio washamalizana na Soka?

Pia soma
Soka yupo wapi? Tuambieni kama mmemficha au mmemuua tujue moja
We unashangaa hiyo je hushangai hii ya watekaji wa juzi hapa ambao sura zimeonekana wazi wazi kwenye video na baadhi yao wanafahamika kabisa je umeshasikia nani kakamatwa kati yao?
Ishu imepitishwa kimya kimya tena lile tukio la kuanguka gholofa Kariakoo ndo imekuja kuzika kabisa habari ya wale watekaji
Hapo bado ishu ya mzee Kibao na yale magari na askari waliomchukua kwenye bus na kwenda.......!!!
Yote hayo utaambiwa bado uchunguzi unaendelea mpaka Yesu atakaporudi
 
Polisi wamevuna
 
hii ni hatari
Hamna hatari, wala usiogope, fanya siasa usifanye fitna. Sisi raia tu tunaweza kukuzima dakika moja bila mtu yyte kukufahamu. Iwejee serikali ishindwe..
Nawaeleza. Hawa watu wakipotea wanapotea kupitia watu wenye roho mbaya.
Hata raisi hafahamu haya mambo.
Msimtie dhambi. Hiki chuma wenyewe kwa wenyewe ndio vilemba.
Vijana kwa wazee tuache fitna haswa kwa watu wanaopendwa. Wengi tu washauliwa na kuzikwa Tanzania hii na hatujui.
 
unasema hata raisi hafahamu haya mambo... maana yake anafaa au hafai mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…