Bulelaa
JF-Expert Member
- Jun 28, 2024
- 1,342
- 3,247
Hamjamboni Watanzania wenzangu
Siku za hivi karibuni, nimekuwa sina furaha, kila nikifungua mitandaoni, Kwenye luninga na sehemu mbali mbali za mitandao nakutana na tarifa za ugaidi zikiwa zinahusisha watu wa upande wa dini yangu tu
Sasa najiuliza, haya mambo ni kweli kabisaa au kuna namna tunapakaziwa?
Yaani wenzetu wa dini ile ya kwanza kuja, wao na ugaidi hawahusiki kabisa?
Inakuweje iwe sisi tu, Mafundisho yetu mengi ndio yanaelekeza hivi au tabia tu za baadhi ya wenzetu kupenda kujihusisha na ugaidi? Nasema hivi kwa sababu, kuna kipindi, baadhi ya nyumba zetu hizi za Ibada, zilikutwa vijana mbali mbali wakipikwa vizuri kimafunzo ya karate n.k badala ya EIlimu iliyokusudiwa na kiongozi wetu
Hii humaanisha nini?
Kwa sasa nipo njia panda, sielewi iwapo nitaendelea kuwa wa dini hii?
Mola mlezi wetu, tupe mwisho mwema waja wako