Smartkahn
JF-Expert Member
- Jun 22, 2020
- 594
- 1,061
Ni Akili kubwa tu imetumika na wakubwa.
Ni sawasawa na akili ya mwizi, ni kwanini mara nyingi wezi wanaamua kuiba usiku na sio mchana? (kwanini uislamu na sio ukristo((Kutokana na nature na msimamo ya imani))
Watu wenye Akili kubwa katika baadhi Taasisi za kiusalama duniani waligundua kupitia dini ndio njia rahisi isiyo na gharama na ni njia rahisi sana kupata wafuasi kwa hiari yao wenyewe pasipo kujua ni wanatumia tu.
Mara nyingi adui Yako akitaka kukumaliza hua anaangalia udhaifu wako mkubwa uko wapi (naam weakness!)... hata hivi viwatilifu vimetengenezwa kwa kuzingatia udhaifu wa visumbufu vya mazao kwa mkulima,
Hivyo hivyo wazee wa kazi waliangalia hawa maadui zetu weaknesses zao ziko wapi wakagundua ni imani yao Kwahiyo nao wakacheza nao humohumo.
Kumbuka ukiwa mtu wa imani arafu ukakosa elimu dunia au tukawa hauna upeo(akili kubwa) wewe na mtumwa hakuna tofauti na inawezekana mtumwa wa kimwili umemzidi level ya utumwa kwasababu utumwa wako ni automatiki unajituma mwenyewe kwa Bwana wako hakushikii mtutu.
Cc: @Dr Mambo jambo"mprisonment of the mind is the worst imprisonment of all. It is without walls, bars, or chains. Its the most binding, self-imposing and self-inflicting. it has the willing of the victim."
Dini haitumiki kwenye ugaidi tu dini imetumika sehemu nyingi sana na asilimia kubwa inatumika na serikali za kiduniani ili kutawala vizuri.