Hivi..! Dini yetu sisi, inaushirika gani na ugaidi?

Hivi..! Dini yetu sisi, inaushirika gani na ugaidi?

Mkuu, ugaidi ni pamoja na kuuwa watu na ama kupanga njama za mauwaji ilihali watu hao hawana hatia yoyote

Mkuu, hiki ni kipande kiduchu sana kati ya habati nzima ya ugaidi
Hii definition yako mbona haendani na uzi uliofungua?
 
Urusi na Ukurain ni nchi ya Dini yetu inaua watu kila ukicha, US ni nchi ya Dini yetu ila imesambaza vita kila mahara Congo Iraq afaghanistan nk wasio kua na hatia wanakufa.....neno Gaidi lina tumika kama propaganda kwa raia mbumbumbu wasio jua kuchambua masuala ya dunia,
Urusi, Ukraine na Marekani wakati wanipigana vita vyao hawasemi Bwana Yesu Asifiwe au Tumsifu Yesu Kristo wakati wanajeshi wao wanaua maadui wao.
 
Urusi, Ukraine na Marekani wakati wanipigana vita vyao hawasemi Bwana Yesu Asifiwe au Tumsifu Yesu Kristo wakati wanajeshi wao wanaua maadui wao.
Wanasema ki moyo moyo sio lazima watamke usikie ila lengo liko pale pale.
 
Vita vya msalamba crusades 1352 ad walitumia mapanga kueneza hiyo Dini kwa kumwanga Damu, Urusi na Ukurain ni nchi ya Dini yetu inaua watu kila ukicha, US ni nchi ya Dini yetu ila imesambaza vita kila mahara Congo Iraq afaghanistan nk wasio kua na hatia wanakufa.....neno Gaidi lina tumika kama propaganda kwa raia mbumbumbu wasio jua kuchambua masuala ya dunia, na hilo neno terrorist linatimika sanaa kwa Tanzania kwasbb raia wao wengi wana elimu duni.
Mkuu nadhani umechukulia juu juu tu ni kuwa sababu kuu ya Cruside ilikuwa Islam imevuka na kuingia bara uropa na walikuwa wakilazimisha kila mtu awe muislam Spain yote iligeuzwa kuwa nchi ya kiislam na ikaitwa Andalusia So Mateso ya waislam kwa wasio waislam yalivuka mpaka Wazungu wakastuka Habari zikamfikia Papa wa Roma akakubali kuundwa Jeshi la ukombozi likakubalika bara uropa lote ndipo vita ya cruside ikaanza Spain ikarejea kuwa Christian country Uturuki chini ya Constantine ilikwama baada ya kuzingirwa kwa muda mrefu and Papa akagoma kutuma Jeshi Njaa ikawa nyingi na wagna wa kipindi hicho walipoona Costa hana kitu wakachukua pesa na walipewa ardhi kama nchi sijawahi fuatilia hiyo nchi kwa sasa, Mehmet wa Uturuki akatoa burungutu wakamuacha mfalme akidundwa ndani ya hemaya lake na ndani ya kanisa maafuru.

So Vita zote za kiislam waanzishaji ni wao wenyewe hawajawahi vamiwa bali huwa wanaanzisha songombinde tu eti jihadi
 
Hamjamboni Watanzania wenzangu

Siku za hivi karibuni, nimekuwa sina furaha, kila nikifungua mitandaoni, Kwenye luninga na sehemu mbali mbali za mitandao nakutana na tarifa za ugaidi zikiwa zinahusisha watu wa upande wa dini yangu tu

Sasa najiuliza, haya mambo ni kweli kabisaa au kuna namna tunapakaziwa?

Yaani wenzetu wa dini ile ya kwanza kuja, wao na ugaidi hawahusiki kabisa?

Inakuweje iwe sisi tu, Mafundisho yetu mengi ndio yanaelekeza hivi au tabia tu za baadhi ya wenzetu kupenda kujihusisha na ugaidi?

Kwa sasa nipo njia panda, sielewi iwapo nitaendelea kuwa wa dini hii?

Mola mlezi wetu, tupe mwisho mwema waja wako
Qisas, Jino kwa Jino
 
Duniani kuna waislam almost 2bilion na waarabu ni just 20% ya hio 2b na waarabu ambao sio waislam pia wamo kwenye mkumbo huo. Hivyo relax ukitaka kujua duniani kuna ugaidi nenda Amerika ya kusini kuanzia viunga vya mexico umalize mpaka chile
 
Uislam umeanza kwa vita hadi sasa hvi ni vita; as I said, historia ina kawaida ya kujirudia, why kwa Wakristo hayajirudii? Mnaonkoteza story za vijiweni na kuviamini. Lini umewahi kusikia Wakristo wanapigana in the name of their dini? Na baada ya kuua ukawasikia wakimshukuru Mungu wao? Wakristo wanaweza kufanya mauaji, wakapigana hata vita BUT hawafanyi hivo kwa jina la dini yao, watafanya hivo kama binadamu wengine wowote tu. Tuna orodha ya ma sheikh wengi wanapigana vita in the name of Allah, husikii mchungaji, askofu, padre or whoever akipigana vita in the name of Jesus, taja moja bro then tuta taja vikundi vingi vya Kiislam.
Maelekezo yako yako very clear lakini utashangaa salamaleku watakuja kukubishia. Mfano Hamas hata wakati wanabaka wanawake kule Israel walikuwa wanaimba "Allahu akbar" hata mtaani raia walivyokuwa wanaona rocket zinarushwa kwenda Israel tarehe 7 October walikuwa wanafurahi wanaimba "Allahu akbar"
 
Attachments

  • 5520872-194fc953bea427ccfef7832aef21a538.mp4
    7.4 MB
Kumbuka kua mti wenye matunda ndo hupigwa mawe ili yale matunda yadondoke ili ule mti uwe sawa na miti mengine
Lakini bila ya kujua kua mti ule huchanua maua mengi na hutoa matunda tena
 
Muwe mnasoma na kuchambua habari na makala plus historia mbalimbali.

Acheni uvivu mnasimu ila kazi ya hizo simu ni kuangalia connection badala ya kujielimiaha na kujaza maarifa kwenye hizo bongo zenu.

Acha kuuliza maswali ya kivivu kama huna furaha kuwa mpagani au budha😄😄😄

#ELIMU!ELIMU! ELIMU!
 
Hamjamboni Watanzania wenzangu

Siku za hivi karibuni, nimekuwa sina furaha, kila nikifungua mitandaoni, Kwenye luninga na sehemu mbali mbali za mitandao nakutana na tarifa za ugaidi zikiwa zinahusisha watu wa upande wa dini yangu tu

Sasa najiuliza, haya mambo ni kweli kabisaa au kuna namna tunapakaziwa?

Yaani wenzetu wa dini ile ya kwanza kuja, wao na ugaidi hawahusiki kabisa?

Inakuweje iwe sisi tu, Mafundisho yetu mengi ndio yanaelekeza hivi au tabia tu za baadhi ya wenzetu kupenda kujihusisha na ugaidi? Nasema hivi kwa sababu, kuna kipindi, baadhi ya nyumba zetu hizi za Ibada, zilikutwa vijana mbali mbali wakipikwa vizuri kimafunzo ya karate n.k badala ya EIlimu iliyokusudiwa na kiongozi wetu

Hii humaanisha nini?

Kwa sasa nipo njia panda, sielewi iwapo nitaendelea kuwa wa dini hii?

Mola mlezi wetu, tupe mwisho mwema waja wako
hivi ugaidi ni nini?
 
Mkuu kwanza ukitafuta definition ya neno ugaidi karibu dictionary zote hutapata tafsiri sahihi kutokana na uhalisia, asili ya hili neno ugaidi ama terrorist ni neno baya na la chuki ambalo limepandikizwa na wasiokuwa waislamu (Western countries and US), lengo lao kuu hasa ni kupandikiza chuki duniani ili uislam uonekane na sura mbaya kwenye uso wa ulimwengu ili watu waikatae dini ya kiislam na kuonekana ni dini ya wauwaji nk. lengo sahihi ni kupinga dini ya kiislam nyuma ya pazia.

Ingawa sisi waislamu tunafahamu katika mafundisho ya Quran kwamba "............. sisi waislam dini yetu imetukataza kuua ila kwa haki" lakini swali linakuja kama tafsiri ya ugaidi ni kuua je hao makafiri walioleta hilo neno wao si wauwaji?
Jiulize swali nani aliuwa watu wengi zaidi duniani ama anayesababisha mauaji nakupa mfano wa Hitler aliuwa watu zaidi ya elfu 6, US ameuwa watu Iraq wanawake na watoto, Afghanistan, Taliban, na sasa mayahaudi wanauwa kwa makusudi wapalestina wasio na hatia na dunia inaona na kujua lakini wamekataa kutumia neno ugaidi na wakampachika nalo Netanyahu mpaka Mahakama ya ICC imetoa hati ya kukamatwa kiongoziwa Israel lakini bado hawajaweza kumwita ni gaidi na kama utafuatilia kote duniani mauaji yanaanzishwa ni nchi za magharibi na US duniani,

Toka hapo zamani sisi dini yetu imetufundisha kuwa wapole na wenye subira, Utakapo muona muislam ameshika mtutu wa bunduki kuingia vitani jua ni kwa ajili ya kujilinda kwamba tayari ameshachokozwa na kuonewa ambapo ndio asili ya hivi vita unavyoviona, "musilam hajawahi kuingia vitani ila atakuwa amesiginwa sana na makafiri" na dini yetu inaturuhusu kupambana nao, hata Mtume wetu Muhammad S.A.W alipigana vita vingi. US ndio gaidi No.1 ulimwenguni
 
Dini yeni inahitaji reforms kubwa sana, hamuwezi kuendelea kuishi kama bado mko karne ya saba bila kuleta tafrani.
Dini ya kiislam ilikamilika toke Mtume wetu S.A.W aliposema --Leo Nimekukamilishieni Dini yenu, na Nimekutimizieni Neema Yangu, na Nimekuridhieni Uislamu uwe Dini yenu. Quran (5:3).

Fuatilia vizuri na jiufunze ambaye anaanzisha hizo tafrani, hakuna muislamu duniani ambaye anaamua tu kulala na kuamka asubuhi akashika bunduki na kuingia vitani, fuatilia vizuri.
 
Uislam umeanza kwa vita hadi sasa hvi ni vita; as I said, historia ina kawaida ya kujirudia, why kwa Wakristo hayajirudii? Mnaonkoteza story za vijiweni na kuviamini. Lini umewahi kusikia Wakristo wanapigana in the name of their dini? Na baada ya kuua ukawasikia wakimshukuru Mungu wao? Wakristo wanaweza kufanya mauaji, wakapigana hata vita BUT hawafanyi hivo kwa jina la dini yao, watafanya hivo kama binadamu wengine wowote tu. Tuna orodha ya ma sheikh wengi wanapigana vita in the name of Allah, husikii mchungaji, askofu, padre or whoever akipigana vita in the name of Jesus, taja moja bro then tuta taja vikundi vingi vya Kiislam.
Hitler alikuwa nani? US alipovamia nchi za kiislam na kuua yeye alikuwa nani? Iraq, Afghanistan, Taliban na sasa Palastine "...........ata ukiona muislam ameshika silaha anaingia vitani jua ameonewa na kusiginwa sana na makafiri" fuatilia vita vyote history zipo wazi zinajieleza.

Wazungu wanafuata nini Middle East na wao wako mbali huko Ulaya na marekani, Maslahi? ama nini kwanini hawaziachi nchi za kiarabu wanaeka base zao kila kona jiulize lengo lao ni nini?
 
Back
Top Bottom