Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Huwezi kwenda kulipua raia katika nchi zao kwa sababu zako za kisiasa, kibaguzi au kidini tu halafu uache kuitwa gaidi.Mkuu kwanza ukitafuta definition ya neno ugaidi karibu dictionary zote hutapata tafsiri sahihi kutokana na uhalisia, asili ya hili neno ugaidi ama terrorist ni neno baya na la chuki ambalo limepandikizwa na wasiokuwa waislamu (Western countries and US), lengo lao kuu hasa ni kupandikiza chuki duniani ili uislam uonekane na sura mbaya kwenye uso wa ulimwengu ili watu waikatae dini ya kiislam na kuonekana ni dini ya wauwaji nk. lengo sahihi ni kupinga dini ya kiislam nyuma ya pazia.
Ingawa sisi waislamu tunafahamu katika mafundisho ya Quran kwamba "............. sisi waislam dini yetu imetukataza kuua ila kwa haki" lakini swali linakuja kama tafsiri ya ugaidi ni kuua je hao makafiri walioleta hilo neno wao si wauwaji?
Jiulize swali nani aliuwa watu wengi zaidi duniani ama anayesababisha mauaji nakupa mfano wa Hitler aliuwa watu zaidi ya elfu 6, US ameuwa watu Iraq wanawake na watoto, Afghanistan, Taliban, na sasa mayahaudi wanauwa kwa makusudi wapalestina wasio na hatia na dunia inaona na kujua lakini wamekataa kutumia neno ugaidi na wakampachika nalo Netanyahu mpaka Mahakama ya ICC imetoa hati ya kukamatwa kiongoziwa Israel lakini bado hawajaweza kumwita ni gaidi na kama utafuatilia kote duniani mauaji yanaanzishwa ni nchi za magharibi na US duniani,
Toka hapo zamani sisi dini yetu imetufundisha kuwa wapole na wenye subira, Utakapo muona muislam ameshika mtutu wa bunduki kuingia vitani jua ni kwa ajili ya kujilinda kwamba tayari ameshachokozwa na kuonewa ambapo ndio asili ya hivi vita unavyoviona, "musilam hajawahi kuingia vitani ila atakuwa amesiginwa sana na makafiri" na dini yetu inaturuhusu kupambana nao, hata Mtume wetu Muhammad S.A.W alipigana vita vingi. US ndio gaidi No.1 ulimwenguni
Ni sababu gani zilizopelekea Osama na wapuuzi wenzake kufanya shambulio la September 11 2001 kule Marekani?
Ni sababu gani zilizopelekea shambulio la bomu St Petersburg mwaka 2017, Taj Mahal 2008, Dar es Salaam na Nairobi 1998, Kampala 2010?