Hivi..! Dini yetu sisi, inaushirika gani na ugaidi?

Huwezi kwenda kulipua raia katika nchi zao kwa sababu zako za kisiasa, kibaguzi au kidini tu halafu uache kuitwa gaidi.
Ni sababu gani zilizopelekea Osama na wapuuzi wenzake kufanya shambulio la September 11 2001 kule Marekani?
Ni sababu gani zilizopelekea shambulio la bomu St Petersburg mwaka 2017, Taj Mahal 2008, Dar es Salaam na Nairobi 1998, Kampala 2010?
 
Tatizo ni asili. Muasisi wa hiyo dini ni muasisi wa ugaidi pia. Na maandiko yako wazi kuhusu hilo. Bwana Yesu alisema hivi:
"Mwivi haji ila kuiba, kuchinja na kuharibu, mimi nalikuja ili wawe na uzima tele" Yohana 10:10-12.
Tena maandiko yanasema:
"Kwa kusudi hili Mwana wa Mungu alidhihirishwa ili azivunje kazi za Ibilisi" 1Yohn 3:8.
Ibilisi shetani ndiye gaining namba moja. Hivyo, ukiona dini yako ina element za ugaidi ufahamu kwamba kuna mafundisho na mafunuo ambayo mnafundishwa lakini yanatoka kwa Ibilisi shetani mwenyewe. Yesu Kristo ndiye Jibu uje kwake ili upate uzima wa milele. Nje ya Yesu Kristo hakuna uzima ni mauti tu. Ugaidi ni mauti!
 
Hitler hakufanya mambo yake kwa jina la Ukristo au dini bali kwa kuendeshwa na ubaguzi(racism).
Swali ni aliuwa watu ama hakuuwa? Jee aliitwa gaidi?
 
Ndan ya USA kuna watu wanaua kwa jina la yesu ? bado una ujinga wa kujitia upofu kweny ukwel
 
Ni Mahakama ipi ilithibitisha Osama kuhusika na hiyo milipuko?
Je Osama ni kiongozi wa waislamu duniani? kwanini anatajwa Osama kwa niaba ya waislamu wote duniani
Sadam Hussein yeye aliripua wapi mbona US na washirika wake walivamia Iraq na kuuwa watu maelfu kwa maelfu? Taliban, Afghanistan na Sasa mauaji yamehamia Palastine na Wapalestina hawajaanza kuuliwa leo ni tokea Israel wapewe uhuru bandia 1948 wanaangusha majengo na kuuwa watu, je tafsiri ya neno gaidi ni kuripua ama kuuwa watu
Hitler ataitwa nani? kwanini kwenye mauaji tu wanashabihishwa waislamu?
 
Swali ni aliuwa watu ama hakuuwa? Jee aliitwa gaidi?
je ni sahihi kuua huku unamtaja Allah ? kun vitu ukibisha unazid kuonesha wehu wako , Hitler alikuwa na vitamm kiuchumi na kisias na sio kuua kwasabb yesu kamtuma kama wafanyavyo waislam wanaua watu wanasema mtume ndo kaacha maagizo hayo
 
we mpumbav una ubish wa kis3ng sn , watu wanaua huku wanasena allah akbar yaan wanahusanisha mauaji yao na mungu wao , je hao unaowataja lin walimuhusisha yesu na mauaji yao , mauaji yapo tangu zamani ila hoja hapa kwann mnuhusisha mungu kweny mauaji yenu je ndo matakwa ya mungu wenu ?
 
Swali ni aliuwa watu ama hakuuwa? Jee aliitwa gaidi?
hv upo timamu kwel ? Unaambiwa kwann mnahusisha dini yenu na mauaji ya raia wema , hao unaowataj hawakuhusisha matendo yao na dini zao na dini zao zilikemea vikali matendo yao ila nyiny misikitini ndo mahala pa kupanga mikakati ya kulipua na kuchinj watu
 
Osama mwenyewe na Al-Qaeda yake walikiri kuhusika na ugaidi wa September 11 na wakahidi wangefanya mashambulizo mengine zaidi kama Marekani isingebadilika na kuacha ku support Israel, nafikiri alikuwa hajui vizuri moto aliokuwa anacheza nao na jinsi gani alikuwa anauponza ulimwengu mzima wa Kiislamu na zaidi sana Waarabu.
 
mpumbav ni wewe unayelishwa ni propaganda za magharibi, ni wapi zilisikika sauti Osama anaripua Tanzania, Nairobi, Washington nk sauti zikisema Allah Akbar, lete hapa hizo voices. Umekuwa mtumwa wa magharibi kila unacholishwa unameza tu, huelewi na hufahamu chochote,

Sasa nchi za magharibi na US zimekuja na hoja wanaume kwa wanaume waonane je na hili nalo limo katika akili yako?
 
Sasa nchi za magharibi na US zimekuja na hoja wanaume kwa wanaume waonane je na hili nalo limo katika akili yako?
Acha uongo wako,
Hakuna nchi za magharibi zinazolazimisha watu waoane, waoe au waolewe.
 
Wapigania Dini Hawa

1. Al-Qaeda


2. ISIS/ISIL (Islamic State)


3. Boko Haram


4. Al-Shabaab


5. Taliban


6. Jemaah Islamiyah


7. Ansar al-Sharia


8. Hezbollah (inatajwa katika baadhi ya muktadha)


9. Hamas (pia inatajwa katika baadhi ya muktadha)


10. Islamic Jihad Movement in Palestine (PIJ)


11. Ansarullah (Houthis)


12. Abu Sayyaf Group (ASG)


13. Jaish-e-Mohammed (JeM)


14. Lashkar-e-Taiba (LeT)


15. Tehrik-i-Taliban Pakistan (TTP)


16. Khorasan Group


17. Harakat-ul-Mujahideen (HuM)


18. Islamic Movement of Uzbekistan (IMU)


19. Ansar Bait al-Maqdis


20. Fatah al-Islam
 
Hilo suala la dini yenu kukamilika linawahusu wenyewe ila ni vizuri mkafahamu kwamba kuna mambo hamuwezi kwenda nayo tena kirahisi katika ulimwengu wa leo bila kuzua tafrani kubwa kutoka watu wasio wa dini yenu. Mambo kama ya jihadi , sharia na fatwa kwa comedians, wachora katuni, na waandishi wakosoaji hayawezi kukubalika kabisa katika enzi hizi.
 
Lete tafsiri ya neno gaidi kwanza hapa ili nianze kukupa hizi details
 
Hii forum imekua ya kibaguzi na udini
Comment yangu imefutwa na haikua na tusi hata moja wala lugha chafu

Wakristo na washirikina wengine wanapewa freeride kutukana waislam, waislam wakijibu maneno msiyopenda comment zinafutwa

Basi isemwe tu forum hii ni kwa ajili ya wakristo kutukana waislam na si vinginevyo.
Shame
 
Wataanzia wapi kubagua watu mkuu

Hata hivyo, bila ya shaka sisi kama sisi hapa Tanzania, hatuna ubaguzi wa Kidini,

Tunaoleana, tunakaribishana hadi kwenye nyumba za Ibada, ifike mahali, nchi zingine zije kujifunza kwetu namna ya kuwa wafuasi wa dini tofauti tofauti

Hakuna nchi ambayo viongozi wake wa Dini wakutane then wafanye tamasha la pamoja kama ilivyo kwetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…