Hivi dishi la Joe Biden limeyumba?

Hivi dishi la Joe Biden limeyumba?

Mbona hayo mambo ya kawaida sana, isitoshe hiyo ni Halloween, mambo kama hayo ni kawaida being scary and weired.

Angeng'ata kweli ningekubaliana na hoja yako.
 
Kulamba mguu wa mtoto ambaye si wako ni kawaida?
 
Wajanja wanajiingizia pesa za wajinga ndiyo waliwao.
 
Ukiwa Rais au mtu maarufu unakuwa katika assessment ya macho ya watu wengi jambo lolote ukilifanya kila mtu anaweza kuku assess kulingana na akili yake inavyoona zaidi kutokana Mila na desturi za mtu alipokulia lakini Mimi kama Mimi sioni neno baya Kwa Rais ambaye ni kama babu na wajukuu zake .
 
Babu yako aliwahi kukulamba mguu wako?
 
Jana katika kusherehekea Halloween, akiwa White House, Rais Biden alionekana akivinusa vitoto vilivyokwenda kusherehekea.

Pia, alionekana akijaribu kuving’ata. Kuna wakati alionekana akiingiza mdomoni kamguu ka mtoto mchanga!

Huyu babu akili zake anazijua mwenyewe 🤣.

Tuanze na picha mgando.

View attachment 3139847

View attachment 3139848

Tumalizie na video.

View: https://youtu.be/fCs5eYO_R1Q?si=rB5GCldhgGZE2Aon

Sleepy Joe....

Ukizeeka akili inarudia utoto....😂😂😂
 
Jana katika kusherehekea Halloween, akiwa White House, Rais Biden alionekana akivinusa vitoto vilivyokwenda kusherehekea.

Pia, alionekana akijaribu kuving’ata. Kuna wakati alionekana akiingiza mdomoni kamguu ka mtoto mchanga!

Huyu babu akili zake anazijua mwenyewe 🤣.

Tuanze na picha mgando.

View attachment 3139847

View attachment 3139848

Tumalizie na video.

View: https://youtu.be/fCs5eYO_R1Q?si=rB5GCldhgGZE2Aon

Biden vituko anavo ila hivi mmemsingizia ..kwanza yuko kwenye sherehe alafu hivo ni kucheza na watoto kila mtu anafanya hivo
 
Kucheza na watoto hakuna ubaya.

Kuingiza mguu wa mtoto wa mwenzio mdomoni mwako si sawa.

Wewe unaona ni sawa kabisa mtu akiingiza mguu wa mwanao mdomoni mwake?
 
Back
Top Bottom