Hivi duniani kungekuwa na jinsia moja tuu ingekuaje!

mtumakin

Member
Joined
Aug 12, 2013
Posts
23
Reaction score
6
Naomaba kuuliza jaman kungekuwa na wanaume peke yake au wanawake peke yake dunian si pangekuwaaje!
 
Hata wewe uliandika huu uzi usingekuwepo na wote humu jamvini pia tusingekuwepo kuchangia. Chezea wahenga wetu wewe, halaiki yote hii unayoiona imetokana na wazee wetu kushughulikia Papuchi na Papuchi kuishughulikia Dushelele bila ajizi.

Kwanza wangekuwepo wanaume tupu, ulimwengu ungekuwa unanuka vikwapa tu, maana hata haja ya kuoga na kunyoa isingekuwepo. Hahahahahaaaaaaa
 
Hata mm sijui, hivi unaweza jua ulipokuwa kabla ya mimba haijatungwa?
 
Hata wewe uliandika huu uzi usingekuwepo na wote humu jamvini pia tusingekuwepo kuchangia. Chezea wahenga wetu wewe, halaiki yote hii unayoiona imetokana na wazee wetu kushughulikia Papuchi na Papuchi kuishughulikia Dushelele bila ajizi.

Kwanza wangekuwepo wanaume tupu, ulimwengu ungekuwa unanuka vikwapa tu, maana hata haja ya kuoga na kunyoa isingekuwepo. Hahahahahaaaaaaa
ha ha. true, mdogo wangu yuko boarding wao wanaoga wakianza kunuka.
 
2ngekuwa wanawake peke yetu kusingekuwa na jf mahusiano na mapenzi!kungekuwa na urafiki tu!tehtehtehtehteh!
 
Kwa nini usimuulize aliyeumba mtu mke na mtu mume kwa mfano wake...?
Huoni kama watutafutia laana siye kutuuliza jiswali gumu kama hilo?

Naomaba kuuliza jaman kungekuwa na wanaume peke yake au wanawake peke yake dunian si pangekuwaaje!
 
Wavamizi wa fb wamekuja kutuharibia kilakitu humu ndani..haya embu tujulishe miaka yako kwanza,alafu ilo swali kajadili na wazazi wako.
 
Hata wewe uliandika huu uzi usingekuwepo na wote humu jamvini pia tusingekuwepo kuchangia. Chezea wahenga wetu wewe, halaiki yote hii unayoiona imetokana na wazee wetu kushughulikia Papuchi na Papuchi kuishughulikia Dushelele bila ajizi.

Kwanza wangekuwepo wanaume tupu, ulimwengu ungekuwa unanuka vikwapa tu, maana hata haja ya kuoga na kunyoa isingekuwepo. Hahahahahaaaaaaa

Mhhh cna neno zaid
 
its not religious :/.

Ooops...now that is worrying!!!

avatar66278_39.gif
 
Back
Top Bottom