Hivi duniani kungekuwa na jinsia moja tuu ingekuaje!

Hivi duniani kungekuwa na jinsia moja tuu ingekuaje!

Bora ina jinsia mbili. Heaven on earth ningempata wapi?.
luv u babe. Mmwaaaa....!!!. mia
 
Last edited by a moderator:
Ooops...now that is worrying!!!

avatar66278_39.gif

Really its worrying.........

I ONCE asked myself what is the MOTIVE behind that AVATAR!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Mdogo wangu, ndo umeangukia mikononi mwa figganigga?

Huyu Heaven on earth nimemuweka kiganjani kaniweka kiganganjani. Kwangu hapindui sipindui wala hazungushi. Hatusikii wala hatuoni.Changu chake chake changu. Huyu ndo doctor wa mahaba yangu. Nampenda sana mpenzi wangu heaven toka moyoni mwangu naye anajua. Mia
 
Last edited by a moderator:
Naomaba kuuliza jaman kungekuwa na wanaume peke yake au wanawake peke yake dunian si pangekuwaaje!

duniani pangekuwa na bahari mito, maziwa na miti tu pamoja na huyo binadamu mmoja aliyeumbwa basiii maana pasinge kuwepo na uzao.
 
Back
Top Bottom